mtaratibuuuuuu
Member
- Aug 17, 2009
- 60
- 4
Hivi Ewura kazi yenu ku2chezesha akili 2 na kubadili bei za mafuta kila kukicha?,hamuoni kuwa hii inaathiri sana wananchi wenye kipato cha chini,mafuta ya taa 1900 kwel mtanzania mwenye kipato cha sh.3000 kwa siku ataweza kwel?.Na serikal inashangilia 2 loool,inabidi kutafuta njia yakuzuia kupandishwa bei za mafuta kila uchao.