FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,239
- 109,808
Aibu kwa Taasis hii ni kua mafuta yalishuka Bei wao wanabadili Bei miezi 6 baadae tena baada ya Bunge Kupiga kelele (mh. Zitto) ina maana serekali sasa haitimizi wajibu wake hadi bunge liingilie Kati?
Ila tukumbuke mafuta yakishuka Bei soko la kimataifa kwa % Fulani , haitawezekana Kushusha hapa kwetu kwa % hiyo hiyo kwani kuna gharama nyingine ambazo hazishuki sawia. Cha msingi EURA isiwakumbatie wafanya biashara wakubwa ikasahau kua kufanya hivyo kutachochea mfumko wa Bei na hali ngumu kwa wananchi.
Huo ni uongo na si ukweli, bei zimekuwa zikishuka na kupanda kila Jumanne ya kwanza ya kila mwezi, Zitto kawaona Watanzania majuha na kuchukuwa hiyo opportunity huku akijuwa fika Jumanne ya mwanzo wa mwezi bei zitabadilika.