EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

wale wote waliosoma bure enzi za ujamaa ndio wamegeuka kuwa matapeli na kuwadhulumu wakulima ambao walikuwa wanazalisha ili wao wasome.
familia zao na vizazi vyao vinawanyonya sana vizazi vya waliokuwa wazalishaji wa enzi za ujamaa.
wengine wamegeuka madalali wa uchumi huku wakiwa kwenye ofisi za umma na kulipwa na umma.
wakati mwingine huwa namchukia Nyerere kwa kulazimisha ujamaa ambao ulituzalishia vizazi vya madalali nchi hii.
Hawa wote, suala, ewura nk ni wanufaika wa kupanda bei kwa bidhaa nyingi humu nchini. wanalipwa ili waweze kufuatilia uganda wa bei tu na sio kushuka kwake.
huwa natamani siku moja tufanye mageuzi ili tuondokane na hawa mabepari
 
Ewura mie hata sitaki waona mbele yangu. Wauaji wa nchi. Mwaka jana aliingia madarakani mwenyekiti mpya wa kamati husika akiitwa Ndassa akapiga kelele na mafuta yakauzwa 1600. Wakati huo soko la dunia lilikuwa juu kiliko leo iweje walishusha bei tozo lao lilibadilika?? Tanzania kuna wasomi wengi wanaoweza kutumia calculator waweke wazi kila lita inatozwa sh ngapi watu wafanye hesabu hakuna cha inflation hapa pesa yetu iko vilevile tangu april 2015. Waagiza mafuta wana jambo na huenda ni hawahawa lakeoil and the like
 
Linapokuja swala la kushusha bei ya mafuta mnatafuta sababu nyingi mno. Hata zilizopo chini ya uvungu mtazileta.

Pipa moja la mafuta limeshuka kutoka wastani wa USD 50 mpaka sasa hipo kwenye USD 30. Lakini amuishiwi sababu.

Hili ni Jipu. Linahitaji Kukamuliwa, Mh Rais Kamua Jipu Hili. Halipo kwa Maslai ya Wananchi Wanyonge, Bali kwa Maslai ya Matajiri wa Mafuta.
 
How do you expect to see changes wakati msimamizi wa organisation naye ana "lions share" kwenye hiyo kitu anasimamia?
 
Hawastahili ku-exists maana nivibaraka wa mabepari na nimadalali wa matajiri wa mafuta.
EWURA bwana yaani walishangaza watu makini kipindi kile cha uchakachuaji wa mafuta ya petrol wengine walisema maji, wengine mafuta ya taa??? Basi huwezi kuamini chifu uamuzi waliokuja nao kipindi hicho ni Kupandisha bei ya MAFUTA YA TAA. Sijui walifikiria kwa kutumia nini!?? Au wanapotaka kuongeza wigo wa mapato yao huwa wanaanzisha figisu figisu km hizo then wanapata sababu. Siamini km hiyo ndiyo ilikuwa njia sahihi.
 
Huu nao ni uongo mchans kweupe. Fixed rate maana yake nini?

Are we not considering value for money variables and influence of inflation at any time T?

Kanuni za biashara ....huweZi fix kodi ya kuku kwa 100% wakati soko lake limeshuka kwa 90% halafu mwenye kuku atakupa nini? Na atabaki na nini?

ufafanuzi wakipuuzi sana.

Mkuu, matusi ya nini?

Je unaelewa EWURA wanaposema kwamba fee yao wanayotoza haiathiriwi na bei ya mafuta? either hiyo bei upande au ishuke.

Concern kubwa ya EWURA hipo kwenye volumes za mafuta zinazoingizwa nchini. Hapo wao ndio wameweka "fixed fee" per litre. "Irrespective of the fuel price"

Humu JF kumejaa watoto wa division 5 wasiojua ku reason kabisa.
 
Mbona yakipanda huwa yanapandishwa hapo hapo tena kwa uwiano wa asilimia mia moja?!
 
Hebu fafanua mkuu, maporomoko ya usd ni pasenti ngapi nakisha utuambie maporomoko ya mafuta asilimia ngapi


Bila kufanya hivyo haya majizi Ewura yatakulaghai kila siku.
mkuu kumbuka TZS was in its worth performance June mwaka jana now ntakwambia imeshuka kwa 0.05% lakin still TZS ina record to 2200 which its not good too japo crude oil price imeshuka sana CAP PRICE ya EWURA lazma iruhusu ushindan
 
Eli79 na INNOCENT CHACHA mpo hewani kusoma yaliyomo humu baada ya kutofautiana na mimi kuhusu utendaji MBOVU wa taasisi za Umma kama EWURA niliodokeza kwenye post yangu "Hongera Radio One kufichua uovu na uzembe wa watendaji wa serikali na taasisi zaje".
 
TUESDAY, JANUARY 13, 2015
How local
traders fix oil
prices in Dar

A filling station attendant refuels a
motorist’s vehicle at a Dar es Salaam
outlet. Tanzanian consumers wonder why
they are experiencing no relief in buying
a product whose price in the world
market has fallen by 40 per cent. Ewura
says prices might go down effective
February.


In Summary
For consumers in Dar es Salaam,
where transport to selling points
costs less than elsewhere, a litre of
fuel should be sold at roughly
Sh1,200 according to analysis
conducted by The Citizen.

By The Citizen Reporter
Dar es Salaam. When Tanzanians
welcomed the New Year in 2014, a barrel
of oil was trading at $100, which was
equivalent to Sh165,000, according to the
then prevailing exchange rate, or
Sh174,000 at the current dollar rate.
Fast forward to 2015 and oil prices have
fallen by 52 per cent, reaching a five-year
low of $50 (Sh87,000) a barrel.

A barrel is a unit of volume for crude oil
and petroleum products whereby one
barrel equals 42 US gallons or 35 UK
(imperial) gallons, or approximately 159
litres or 9,702 cubic inches (5.6 cubic
feet).
Yesterday, Goldman Sachs, a global
investment bank, predicted that by June,
this year, a barrel of oil would have
tumbled further to a record low of $45,
which is equivalent to Sh78,300,
according to the current exchange rate of
Sh1,740 to the dollar.
According to a report by the respected
newswire service Bloomberg, Goldman
Sachs said US oil prices would fall to
around $40 a barrel in the first half of
this year, enough to curb shale
investments as it gave up on Organization
of the Petroleum Exporting Countries
(Opec) cutting output to balance the
market.
Earlier, there was push to force Opec to
reduce the supply of oil in order to
prevent a further freefall of prices, but
the producers, especially from Arab
countries, have declined to cut their
daily output.
Global oil prices have fallen by more than
a half during the past twelve months.
With the latest forecast by Goldman
Sachs, in June, this year, oil prices would
have fallen by between 55 and 60 per cent
—the lowest during the past decade.
Goldman reduced its six and 12-month
West Texas Intermediate (WTI)
predictions to $39 a barrel and $65, from
$75 and $80, respectively, while its
estimate for Brent for the period were cut
to $43 and $70, from $85 and $90,
according to the report.


Tanzania situation
Despite the record fall in global oil prices,
Tanzanians consumers don’t have much
to cheer because the tumbling prices are
not reflected proportionately at the
country’s fuel station.


Although the Energy and Water Utilities
Regulatory Authority (Ewura) last week
announced a reduction in fuel of roughly
Sh80 per litre, the adjustments are
nothing compared to what is happening in
the global market.
According to data obtained by The
Citizen , when oil was trading at $100
(Sh165,000) a barrel in January, last year,
it cost importers Sh1,022.40 to import a
litre of petrol. This price includes buying
cost, insurance and freight charges. (Read
The Business Week of Thursday, this
week, to understand where your money
goes in oil sector.)
Mathematically, if at the price of
$100(Sh165,000) a barrel, it cost local oil
importers Sh1,022.40 per litre in January
last year, at the current price of
$50(87,000), the same should cost
Sh587.90—almost down by 50 per cent.
But with Ewura falling into the trap of the
carefully planned tale of importers, local
motorists are told the weak shilling
against the dollar and heavy taxes on oil
prevent them from enjoying the global oil
bonanza.
The taxes and other levies consume about
40 per cent of the pump price in
Tanzania, according to details seen by The
Citizen .
If you take the current importation price
of a litre of petrol, which is Sh578.90
(after the fall of price at the global market
to $50 barrel by yesterday), it means the
total cost before importers add their profit
margin would be Sh815 per barrel.
For the consumers in Dar, where
transport of oil to the selling point costs
less compared to up country, a litre of fuel
should be sold at roughly Sh1,200,
according to analysis conducted by The
Citizen .

But still, in Dar, the situation is more
complicated, because even the formula
used to arrive at the indicative prices by
the regulator calls for more explanation or
even a quick look.
Although there are more taxes and levies
on oil, the
consumer won’t understand
that all these are pegged on the market
price, meaning when price goes up, the
taxman also earns more. This being the
case, when prices falls in the global
market, the taxes go down, and it should
mean a relief to local consumers but
apparently, not in Tanzania
 
Hakuna sababu zozote kutetea unafiki na utendaji mbovu wa hovyo wa Ewura kama sio
1. kutetea 10% zao kutoka malodi wa mafuta

2. ku-mantain revenue zao kama inavyotegemea kinachopatikana kutoka mauzo.

Hakuna mathematical justification ambayo inaweza kuprove maelezo ya ewura ambayo yatathibitisha fall in price over 60% iwe acounted na kuwa-justified kwa 7% fall in price hapa Tanzania fall of 180 - 200 tsh per litre of petrol. crazy.

For over 60% percent in price worlde fall at least we should test a not less than 30% fall at pump price locally or at most Tsh1600/litre of petrol.
 
Yakipanda kesho kwenye soko la dunia utashangaa nyumbani yanapanda siku hiyo hiyo... Nadhani #ewuranalonijipu
 
Jamani kama kuna taasisi inayotakiwa kuvunjwa basi wangeanza na hii EWURA. Hiyo taasisi haijawahi abadani kumfarahisha mtanzania yeyote yule toka kuanzishwa kwake hamuwezi kuamini!? Zaidi zaidi imekuwa mzigo tu mana nayo ipo kati ya zile tozo unazolipa wewe mlaji wa mwisho... Mpaka kwenye LUKU,Maji n.k EWURA is the middle man.
 
Ewura mie hata sitaki waona mbele yangu. Wauaji wa nchi. Mwaka jana aliingia madarakani mwenyekiti mpya wa kamati husika akiitwa Ndassa akapiga kelele na mafuta yakauzwa 1600. Wakati huo soko la dunia lilikuwa juu kiliko leo iweje walishusha bei tozo lao lilibadilika?? Tanzania kuna wasomi wengi wanaoweza kutumia calculator waweke wazi kila lita inatozwa sh ngapi watu wafanye hesabu hakuna cha inflation hapa pesa yetu iko vilevile tangu april 2015. Waagiza mafuta wana jambo na huenda ni hawahawa lakeoil and the like
Kwa kweli mkurugenzi kapiga porojo tu. Yaani crude oil imeshuka kutoka karibu dola110 kwa pipa hadi dola 30 halafu hatuoni uwiano wa kushuka kwake na bei zetu? Hiyo crude oil imeshuka kwa asilimia ngapi? Ingebidi angalau bei yetu kwa petrol sasa iwe angalau shs 1300 kwa lita.
 
Hoja na utetezi wa ewura ni too low na usanii mtupu, hakuna hoza yoyote yamsingi.

1. Gharama za usafiri
Mathematically kwenye hili anguko la bei hupaswi kuliongelea wala kulijumuisha suala la usafiri.

Mafuta yapande au yasipande variation za transport cost zita-vary kwa mfumo wake wa kawaida hatakama balaa la anguko hili lisingekuwepo hii variation ingekuwepo na contribution yake to this crisis nikama hakuna, (Hakuna sababu yamsingi hapa ila ulaghai wakutupwa)

2. Bei halisi ya mafutayaliyosafishwa.
Dunian kote hii bei sio fixed
ulaya na usa gharama kubwa ukilinganisha na middle east, iran, saudiarabia nk

Hawa ewura wanaongelea soko gan hasa la mafuta yaliyosafishwa/refined ambalo linaacount kwa ujumla wake anguko la mafuta ghafi dunian kote? huu ni uwongo na ubabaishaji wa hali ya juu. mfano kuwait na iraq gharama za chin mno .....

3. Ghara kupanda hapa kwetu kwa tofauti ya miezi miwili mbele baada ya huko yatokako.

Ewura wanashikiwa akili?....Mafuta yameanza kuporomoka zaidi ya miaka miwili ilopita 2013/2014.
Je miezi miwili anayoongelea huyu ewura anamaanisha miaka miwili? zaid ya miaka miwili bei imeshuka kutoka Tsh 2300 hadi tsh 2100/lita petrol (2300-2100)/2300 x 100 = 8% au shiling miambili tu ndo imepunguwa kwa kipindi cha miaka miwili......huu ni wizi wa waziwazi na uchafuzi wa uchumi kwa taifa letu kuukabidhi mikononi mwa wajanja wachache wagawane tuliowengi tukose.

4. kuporomoka thamani ya shilingi yetu dhidi ya usd.
a. Jan 2015 1 usd = tsh 1729 mafuta tsh 2300/litre of petrol (data zake ewura)

b. Dec 2015 1usd = tsh 2118 mafuta tsh 2100/litre of petrol (data zake ewura)

-pecentage change in usd cost = (2118-1729)/1729x100
=22.5% ....thaman ya tsh kuanguka .....hii itasabisha mafuta yapande bei kwa 22.5%

-percentage change in fuel tsh/lita petrol (2014 - 2016 Jan)

(2300 - 2100)/2300 x 100 = 8.7% yaan mafuta yameanguka kwa asilimia 8.7 sawa na tsh. 200 tu kwa miaka zaid ya miwili.

- kuporomoka mafuta ghafi ambayo kimahesabu anguko lake litaendasambamba kabisa na anguko la mafuta yaliyosafishwa kwa maana ya asilimia
(cost of crude oil fall price will vary directly proportional to fall in cost of refined oil all other costs remain unchanged...overhead cost, maintenance cost, transportation cost, tax etc)

percentage fall per berrel usd 130 in 2014 to usd 30 nov 2016

(130-30)/130 x100 = 77% yaan mafuta yameshuka kwa asilimia 77% katika miaka miwili tu sawa na anguko la usd 100 per berrel.

A. Jumla ya kupanda bei hapa nchin mafuta kwa lita ni sawa na asilimia za kushuka thaman shilingi yetu (hii inafanya mafuta yande ) kutoa anguko la bei ya mafuta kwa sasa.
= shilingi dhid ya usd - anguko halisi

= 22.5% - 8.7% zipo hapo juu nilivyozipata

= 13.8% (Hii ndio thaman halisi ambayo itaathili moja kwa maja uporomokaji wa bei yamafuta kutoka uds)

B. mafuta yameporomoka kwa 77% kwa sabab wamerikan wamefungulia zaid ya kiwango sokon na dola imeyapandisha kwa 13.8% hapa nchin kwetu, hivyobasi.....

Anguko halisi lilipaswa kuwa

= Anguko la mafuta sokon kutoa gharama zitokanzo na usd ......hapo juu

= Anguko la mafuta soko la dunia - Madhara ya usd .......hapo juu.

= 77% - 13.8%

= 63.2% .....hivyo basi, ilipaswa mafuta yashuke bei kwa asilimia kati ya 40 had 50 ukiacha asilimia zingine 13.2 for other unforeseen events kwa wafanya biashara.

Ewura wanatuletea maelezo yakisiasa mengi yauwongo na yasiyonaushawishi

kwa kadrio la chin ilipasa tuuziwe mafuta kwa punguzo la walau 40% ya bei ya january 2014 ambayo ilikuwa tsh 2300/lita ya petrol

= 1- 40/100 x 2300

= 1380/lita ya petrol

pamoja na punguzo la 40% bado mfanya biashara kabakiwa na zaid ya 20% inaelea mfukoni mwake kwa kila lita kukabiliana na mambo mengine tuki- assume faida yake haijaguswa atapata kama alivyokuwa akipata 2014


This EWURA IS A DEADLY ANIMAL.
 
Back
Top Bottom