EWURA: What is "Compliance Order"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EWURA: What is "Compliance Order"?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Baba_Enock, Aug 10, 2011.

1. Baba_Enock

Baba_Enock JF-Expert Member

#1
Aug 10, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 6,804
Likes Received: 176
Trophy Points: 160
Jana jioni nilimsikia Mkurugenzi Mkuu wa EWURA akisema kuwa wametumia kifungu cha sheria (xyz?) kutoa "Compliance order" kwa Makampuni yanayosambaza na kuuza mafuta ...

Kwa wanaofahamu sheria za "kuwepo kwa EWURA" hii "Compliance Order" ina maanisha nini katika "sakata zima" la Biashara ya Mafuta hapa Tanzania?

Nimepitia kwenye tovuti ya EWURa lakini kwenye "orders" column ya "Petroleum" ni "blank"!

http://www.ewura.com/orders.html

Nawakilisha

2. Baba_Enock

Baba_Enock JF-Expert Member

#2
Aug 10, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 6,804
Likes Received: 176
Trophy Points: 160
3. Kobello

Kobello JF-Expert Member

#3
Aug 10, 2011
Joined: Feb 20, 2011
Messages: 5,689
Likes Received: 656
Trophy Points: 280
Chapter 414:EWURA ACT(Principal legislation),section 39(1),(2),(3),(4),(5),(6).
Kwenye nyekundu nadhani ndio imeeleza kuwa,ikiwekwa public ni sawa na order ya mahakama kuu.
I stand to be corrected.

4. h

hoyce JF-Expert Member

#4
Aug 10, 2011
Joined: Oct 26, 2010
Messages: 1,119
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
Kwa sheria sijui kifungu kinasemaje, lakini kwa tafsiri ya Masebu jana, maana yake ni:

1. Makampuni husika yawe yameendelea na biasha within 24 hrs,

2.Yaache kuingilia na kuvuruga mfumo wa uuzaji mafuta

3. Yatoe maelezo kwa nini yasichukuliwe hatua kwa kukiuka sheria, hasa kipengele kinachozuia wafanyabiashara kukaa na kupanga bei.

Wakishindwa kukcomply, Order inapelekwa Mahakama Kuu kukazia hukumu, baada ya hapo hatua zaidi zinachukuliwa kwa amri ya mahakama, kama vile serikali kutumia miundombinu yake kuagiza na kusambaza mafuta, labda wakikata rufaa Court of Appeal.

5. M

Mbalamwezi JF-Expert Member

#5
Aug 10, 2011
Joined: Sep 30, 2007
Messages: 803
Likes Received: 37
Trophy Points: 45

_Uko sahihi, isipokuwa rufaa inapelekwa Fair Competition Tribunal

6. h

hoyce JF-Expert Member

#6
Aug 10, 2011
Joined: Oct 26, 2010
Messages: 1,119
Likes Received: 14
Trophy Points: 135

Kwa mujibu wa Masebu, rufaa inayokwenda fair competition ni ya bei ya mafuta ambayo hawakuikata, hii ya comliance order (sawa na amri ya high court, rufaa itakwenda competition kufanya nini?Inakwenda court of appeal

7. Kobello

Kobello JF-Expert Member

#7
Aug 10, 2011
Joined: Feb 20, 2011
Messages: 5,689
Likes Received: 656
Trophy Points: 280
Uko sawa.

8. K

Karry JF-Expert Member

#8
Aug 10, 2011
Joined: Mar 26, 2011
Messages: 266
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
duh balaa

9. Baba_Enock

Baba_Enock JF-Expert Member

#9
Aug 10, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 6,804
Likes Received: 176
Trophy Points: 160
What if kama wao wamesha-lodge complaints/case na FCT? Hii Compliance order bado ina-hold? au ni baada ya maamuzi ya FTC?

Na je? Kama swali langu la msing lilivyokuwa ni sheria ipi ya nchi inayo equate Compliance Order na High Court Decree?

Niko-worried kama hili suala likiingia kwenye Sheria inawezekana EWURA na Serikali wakashindwa!!!

10. Ngambo Ngali

Ngambo Ngali JF-Expert Member

#10
Aug 10, 2011
Joined: Apr 17, 2009
Messages: 3,196
Likes Received: 135
Trophy Points: 160
Where the Authority is satisfied that a person has committed or is likely to commit an offence against this Act or a sector Act it may make a compliance order under this section.

What is an offence:

Section 42 ( 1) states that:
Any person who contravenes or fails to comply with a provision of this Act, commits an offence against this Act

Hatimaye kifungu cha 17 ( 1 ) na ( 2 ) kinatamka kuwa:

1) Subject to the provisions of sector legislation and licences granted under the legislation, the Authority shall carry out regular reviews of rates and charges.

Sasa kwa kushindwa kuzingatia rates zilizowekwa wauzaji wametenda kosa na ndio maana wamepewa compliance order chini ya kifungu cha 39.

Sheria:
Hakuna mahakama itakayokubali kutekeleza sheria hiyo kwa sababu zifuatazo:

1. Haki ya kusikilizwa hakuna kwenye utaratibu wote mpaka kupewa compliance order.
2. Endapo itapelekwa mahakamani itachukuliwa kama kama injunction hivyo basi amri itakayotolewa na mahakama ni zuio, sasa wanazuia nini wakati watu wanataka mafuta?????

Uzuri wa sheria za Copy and Paste

11. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#11
Aug 10, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,655
Likes Received: 35,417
Trophy Points: 280
Unamaanisha nini kwa kusema "uzuri wa sheria za Copy and Paste"? Kwamba tumeiga za Waingereza au sijui Wahindi?

12. Ngambo Ngali

Ngambo Ngali JF-Expert Member

#12
Aug 10, 2011
Joined: Apr 17, 2009
Messages: 3,196
Likes Received: 135
Trophy Points: 160
Kuchukua sheria toka say south africa(cannon law) as oppossed to common law na kuileta wholesale bila kubabadilisha some important principles. Kwenye hii inaelekea once ukipewa compliance order tayari kesi imekwisha na huna haki ya kusikilizwa. Kwenye common law haki ya kusikilizwa ni haki ya kisheria na kikatiba.

Kwenye Common law injuctive orders ni za kuzuia sasa hiyo compliance order itasaidia nini wakati sisi tunataka mafuta? Kwa mantiki hiyo hilo neno limeokotwa tu toka mahali na kupachikwa tu

13. Mbugi

Mbugi JF-Expert Member

#13
Aug 10, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 1,488
Likes Received: 100
Trophy Points: 160
hapo patamu baba nimependa, nashauri serikali kwa msingi huo labda ingeamua tu kudhulumu/nationalization, na ndiyo maana wenzetu wale wa dr masaburi wamekuja na wazo la kuingiza majeshi

14. Tangawizi

Tangawizi JF-Expert Member

#14
Aug 10, 2011
Joined: Jun 25, 2009
Messages: 2,835
Likes Received: 927
Trophy Points: 280
Guys,
Energy is the game of giants! Sijui kama tunalitambua hilo...kufanya mambo arrogantly au forceful will cost us alot more than doing with dilligency and by putting national interest ahead. Naona kama tunataka kuvuruga mfumo uliopo ili tulete ukiritimba kwa kuitumia tpdc au kuanzisha vikampuni vyetu uchwara vingi....hivi TIOT ilIKUFAJE TENA??

15. Kobello

Kobello JF-Expert Member

#15
Aug 10, 2011
Joined: Feb 20, 2011
Messages: 5,689
Likes Received: 656
Trophy Points: 280
Nitajie nchi yoyote duniani ambay hai-regulate bei ya mafuta.Nchi nyingi sana zina mashirika ya ku-import mafuta.
Mwezi iliopita,dealer's margin ilikuwa 59shs/litre.......leo ni 57.5/litres. shilingi 1.5 ndio ifanye wasuse?

Loading...