EWURA tulikosea formular | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EWURA tulikosea formular

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Aug 5, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uyu mkurugenzi wa ewura anaadmit kuwa walikosea formular yaani nimechokaa!
  Ukimwangalia usoni ni kama hayuko serious it is as if wadau wa mafuta wakikomaa bei itarudi kama ya zamani!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,266
  Likes Received: 19,396
  Trophy Points: 280
  ccm hao
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sasa sijui iyo formular itarekebishwa na hao hao waliokosea au watapewa wengine
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tehe tehe so anasubiri nini kujiuzuru?maana EWURA haitusaidii wanakula kodi yetu bure tuu pumbavu saaaaaana!
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  huyu mkuu wa ewura inatakiwa akamatwe na kutiwa ndani. Kwenye kikao na wamiliki wa mafuta wameongea nini? Akaunti zake na bank statement zake za siku za karibuni zichunguzwe na wala rushwa wa pccb
   
 6. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mungu wangu, biashara tayari!!!
   
 7. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Lazima hakosee, nchi inaongozwa kwa kubabaisha kila kona unategemea nini. Kila mtu anakurupuka tu lolote lile atakalo pata kijiweni bila kufanya utafiti wowote..
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,112
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  wamekosea wakiwa na maana kuwa itapungua zaidi.....au hiyo bei iliyopo ni ndogo sana inatakiwa ipande?
   
 9. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  ha ha ha! Yale yale ya Necta.
   
 10. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Acha uongo, kasema wapi na saa ngapi? Kama hujaelewa kitu acha kukurupuka na ku post crap. Kama ni taarifa ya sa 2 usiku hata mm nimeona
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Alisemaje?
   
 12. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Watamchukulia hatua gani iwapo hiyo ni sifa yao?
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Masebu kasema hayo? kama mambo yataachwa yalivyo sasa, tutegeme tatizo kubwa la upatikanaji wa mafuta kuanzia miezi miwili au mitatu ijayo maana inawezekana makampuni makubwa ambayo huingiza mafuta yameshaanza kufanya cancelation ya order zao za mafuta kwa miezi inayokuja.Principles nzuri za biashara zataka kila kitu kifanyike wazi na hapo sasa ewura ndio wanatakiwa kuwa kweli regulator. Naona kwa hii issue ya sasa, Ewura imeamua kutumia mabavu kupitisha formula ile ili mafuta yashuke bei. Kwanini tusianze na kupunguza dermurage cost ambazo kwa kweli zipo ndani ya uwezo wetu? Hivi meli husubiri kwa muda mrefu kiasi gani kabla ya kushusa mafuta KOJ na nani analipia gharama za ucheleweshaji huo?
  Kwa mtazamo wangu mimi kama KOJ iko congested, serikali ingeingia ushirika na makampuni ya mafuta kujenga bomba lingine la kushushia ili kuondoa gharama zisizo za lazima.
  Approach ya sasa inaleta matatizo mengi kuliko unafuu maana nina shaka sana na upatikanaji wa mafuta siku za baadae kama hali itakuwa hivi.
   
Loading...