EWURA bado hawajaita shortlisted candidate for interview??

Ewura tangu watoe tangazo lao la kazi mwaka jana(2016) October na deadline kuapply ilikua tarehe 15 Nov,,mpaka leo hawajaita watu kwenye interview,Tatizo ni nini??
 
Ewura tangu watoe tangazo lao la kazi mwaka jana(2016) October na deadline kuapply ilikua tarehe 15 Nov,,mpaka leo hawajaita watu kwenye interview,Tatizo ni nini??
Kama si chemical engineer ,utakuwa mineral processing engineer.
Jiandae mkuu wakati wowote wata shortlist
 
Wapo chuo cha kodi labda wawe wameanza kaz mwezi uliopita Mara ya mwisho nliongea na rafk yangu akasema ndo wanaingia semister ya pili eti nkasema duh
Wale wa tra tayari ni waajiriwa coz wanalipwa mishahara kbsa wala sio posho wanamaliza mwzi wa tano take home ni mia tisa after tax
 
Back
Top Bottom