EWURA bado hawajaita shortlisted candidate for interview??

Ata bahasha zingine hazijatolewa posta mkuu
 
Kuna mtu alisema ewura huwa wanachelewa sana kuita kama TRA
 
Hahahhaha inawezekana wakaitana kimya kimya maana wabongo hawatabiriki

Kama post za TRA walizofanya mwezi wa sita usaili nasikia wameitana kimya kimya kazini,yaani hii nchi.
 
Hiyo ya TRA kuna watu nlisoma nao walipata ila hadi Leo hawajapangiwa vituo wapo chuo cha kodi wanasoma na mwisho watafanya pepar eti japo ndo hivyo wanalipwa posho posho na chakula kipo pale pale chuo cha mwenge kweli ajira za TRA kupata ni ishu na unaambiwa kama huna upper second hupati labda uwe na post au masters
 
Hao jamaa zako walifanya usaili wa post zipi????Nakumbuka mwezi wa sita walifanya office attendant na records management.
 
Mi nlikuwa nasema zile zilitangazwaga nyingi za ma tax officer
 
Duhhh,kweli msala,zile post za customs hadi leo hawajapewa maisha.
Wapo chuo cha kodi labda wawe wameanza kaz mwezi uliopita Mara ya mwisho nliongea na rafk yangu akasema ndo wanaingia semister ya pili eti nkasema duh
 
Sasa wanafanya training ya kazi au wanafanya kozi zao zile za taxation management.
 
Hiyo ya TRA kuna watu nlisoma nao walipata ila hadi Leo hawajapangiwa vituo wapo chuo cha kodi wanasoma na mwisho watafanya pepar eti japo ndo hivyo wanalipwa posho posho na chakula kipo pale pale chuo cha mwenge kweli ajira za TRA kupata ni ishu na unaambiwa kama huna upper second hupati labda uwe na post au masters
Za TRA lazima uchukue postgraduate ambayo inakua ni mafunzo ya masomo yao ya taxation na ukichaguliwa haulipi hata mia ila unakua unapewa posho tu ya kujikimu na hostel pia.
Wanasoma kwa miez 12 tokea mwezi wa5 hadi wa5 tena .
 
Training mwaka mmoja

sasa kaka naomba uniulizie kwa jamaa yako kama wale watu wa RECORDS MANAGEMENT NA OFFICE ATTENDANT WAPO PAMOJA NAO AU WAMESHAFANYA TRAINING???AKIKUPA JIBU NAOMBA UNIPE MREJESHO KAKA.
 
Hayo madude hayana Training ya mwaka mmoja!
 
Back
Top Bottom