EWURA bado hawajaita shortlisted candidate for interview??

nafasi za lini, maana nakumbuka niliomba kama miezi mi 5 iliyopita
 
kazi serikalini bado, mpaka Mzee wetu Presidaa, atoe go ahead. mbona munashindwa kuelewa?
Kwa waajiriwa wa mikataba ktk mashirika ya serikali ajira zipo kwani mishahara yao haitoki hazina. Check Tanroads nao pia wametangaza nafasi hivi karibuni
 
Si mikataba tu, serikali inaajiri ila taratibu saana maana bajeti ipo hovyo.
 
Back
Top Bottom