Ewe mwanaume, usimchunge mwanamke!

Maandishi ya herufi kubwa hayo, ndo umepatia haswaaah.
 
Inawezekana vipi kiumbe hai chenye akili na utashi kuchungwa? Au mie ndo sielewi.
 
Ushauri wa dhahabu.
 
Tunapoteza sana mda kwenye vitu ambavyo havina msingi wowote..
 
Inawezekana vipi kiumbe hai chenye akili na utashi kuchungwa? Au mie ndo sielewi.
Nacho amini akikupenda ata jichunga. So ukiona una chunga juwa kuna jambo halipo sawa hapo toroka mapema. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii inaonyesha walimu wa madrasa sio waaminifu,na wanatumia dini vibaya kufanya umalaya.
 
Mwanangu hali tight sasahivi kukimbizana na hii hali ya maisha alafu bado upambane na mtoto wa mtu ni ujinga chagua kilicho bora kwako wewe kwanza vingine baadae vinginevyo uta kosa vyote.
Kweli kabisa man,unakuta wewe unahangaika kutoa,yeye anakuona fala anaanza kukuletea drama za kuvuruga akili na focus ya kupambana,unamuweka pembeni tu.
 
Kweli kabisa man,unakuta wewe unahangaika kutoa,yeye anakuona fala anaanza kukuletea drama za kuvuruga akili na focus ya kupambana,unamuweka pembeni tu.
Mwanangu tafta hela ukiwa na hela it's a matter of choosing yupi unataka wala huta kuwa na stress. Neno lako moja litakuwa command kwake. You can't serve two masters at one time. Mwanamke uchunge na kazi ufanye you will end up being a looser.
 
Nacho amini akikupenda ata jichunga. So ukiona una chunga juwa kuna jambo halipo sawa hapo toroka mapema. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaah yaan. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
hukohuko unapoelekea ndio lengo hasa la mleta mada lilipo, sijajua bado mtu anaedhihaki Dini za watu wengine ananufaikaje!?
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘ŒπŸΏπŸ‘ŒπŸΏπŸ‘ŒπŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…