Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,737
- 11,900
🤣🤣🤣kama anataka kupendwa hivi hivi asubiri upendo wa YesuMaisha ni kuviziana! Kila mtu anamvizia mwenzie. Hata mwanaume anamuoa mwanamke kwa sababu, sio hivi hivi tuu.
🤣🤣🤣kama anataka kupendwa hivi hivi asubiri upendo wa YesuMaisha ni kuviziana! Kila mtu anamvizia mwenzie. Hata mwanaume anamuoa mwanamke kwa sababu, sio hivi hivi tuu.
Na sababu kuu nzuri inayokubalika na both genders ni physical attraction k v uhandsome wa mwanaume na natural beauty ya mwanamke ChivunduHata mwanaume anamuoa mwanamke kwa sababu, sio hivi hivi tuu
Duuh kwahiyo huvutiwi na muonekano wa mumeo/ mpenzi wako MallerinaKusema kweli mimi heshima ninayompa inamtosha anipende yeye😹🔥inatoshaaaaaaaa
Duuh ni kwamba wanaume ambao muonekano wao ni type yako hawakutongozi au MallerinaMuonekano tunatumia wangu tu😹😹