Ewe mwanaume hebu mfanyie haya mkeo leo

Ewe mwanaume hebu mfanyie haya mkeo leo

Hvivi nyie watu wa ngarenaro mbona mna shida sana?? Kidogo matusi,Bangi na Ugonvi. Nawacheki tu mlivyo mitaani kwenu
 
Ama kweli jf kuna mafurushiii, hivi hamuwezi kuchangia mada vizuri bila kuonyesha malezi yenu mabovu mlopitia?[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Sisi watu A town hatuna tabia hiyo sijui wewe utakuwa ni makapi ya wapi
 
Mwandiko una harufu ya bleed, Maliza siku zako kwanza
Naona we chalii unanichukia sababu ya iyo mimba uliyobeba,ila ukizaa hutanichukia tena,kuna manzi apa chuoni mimba yake ilikua hainipendi kabisa ila alipojifungua tu amekua na Rafiki angu,Nawewe ukijifungua hutonichukia Ariff.
 
Huu uzi wanawake wataufurahia Sana.
Sababu Ni ujinga.
Ila bwanamdogo nakushauri uoe kwanza aafu uje urudi baada ya miezi mitatu kuchambua ulichoandika
 
Naona we chalii unanichukia sababu ya iyo mimba uliyobeba,ila ukizaa hutanichukia tena,kuna manzi apa chuoni mimba yake ilikua hainipendi kabisa ila alipojifungua tu amekua na Rafiki angu,Nawewe ukijifungua hutonichukia Ariff.


Siwezi kutengenza bifu na kinamama, Una akili ndogo sana Dada inaonekana hata huko unakosoma umejaza mi sup tu na mi carry over, ukishindwa sana gawa uchi huo wakupitishe.
 
kuna mdau alishawahi kusema vijana wa arusha wanadhani kuoa ni rahisi kama kusema wapolooooooo wapolooooo, hapa ndio naamini sasa.
 
Wasalaam wadau hapa Jamvini
Mwanaume ulieoa hebu fanya kumsaidia mkeo kazi za nyumbani kama kudeki,kufua,Kupika,Kuchota maji nk.
Muache alale na akiamka mpe hela aende Saloon.
Ni hayo tu wazeiya,mimi mwenyewe ningekua nimeoa ningefanya ivo.
@NgarenaroBoy
Nimeamini Paka akijitizama kwenye kioo hujiona Simba mdogo akikua atakua kama simba wa porini.haya Subiri ukuwe kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom