Wewe vipi? Uko dunia gani? Endelea kulala usingizi milele. ..Ewe bidada usiku unageuka bundi kisa mapenzi, Mara unakonda kisa umepigwa chini, ooh sijui wataka unywe sumu kisa huna npenzi, looh ntampata wap Mume Mie kisa umri umeenda,
Shida yote hiyo ya nini? Kwanini usichome sindano wanazochomwa vichaa ukaa ukatulia ukapiga kazi zako kama roboti, ukajiletea maendeleo yako mwenyewe Kama nchi za magharibi? Shida gani
Wanawake wajanja siku hizi hutumia sindano za vichaa Ili kujiepusha Na kupata hisia zozote za kimapenzi, yani kifupi Ni kwamba ukichoma hiyo sindano mwili wako unakuwa hauna hisia za kimapenzi kabisa.
Kwa mana hiyo hutokuwa Na mawazo ya hapa Na pale kuhusu mapenzi, Na utakuwa upo active Kama machine guns katika kazi zako, so wakeup please acheni kulia Lia mnalilia mapenzi mnatia kinyaa ati, badala ya kulilia pesa Na ufalme WA mbinguni nyie mnalilia wala viepe, mapenzi kwa bongo bado kabisa, fix Tu asubuh, fixes mchana fixes usiku, shida gani???? Choma sindano weka mwili wako Kama chuma
Mi nimechoma tayari Na nipo gado Kama roboti, siwazi mapenziWew ulisha choma hiyo sindano na una mapesa mengi?
Makahaba nao wachome sindano?
Kweli Mungu alikosea kuwaweka wanawake kwenye kundi la binadamu! Hizi akili siyo za binadamu wa kawaida kabisa!!
Ahahahhhaaaa....Ewe bidada usiku unageuka bundi kisa mapenzi, Mara unakonda kisa umepigwa chini, ooh sijui wataka unywe sumu kisa huna npenzi, looh ntampata wap Mume Mie kisa umri umeenda,
Shida yote hiyo ya nini? Kwanini usichome sindano wanazochomwa vichaa ukaa ukatulia ukapiga kazi zako kama roboti, ukajiletea maendeleo yako mwenyewe Kama nchi za magharibi? Shida gani
Wanawake wajanja siku hizi hutumia sindano za vichaa Ili kujiepusha Na kupata hisia zozote za kimapenzi, yani kifupi Ni kwamba ukichoma hiyo sindano mwili wako unakuwa hauna hisia za kimapenzi kabisa.
Kwa mana hiyo hutokuwa Na mawazo ya hapa Na pale kuhusu mapenzi, Na utakuwa upo active Kama machine guns katika kazi zako, so wakeup please acheni kulia Lia mnalilia mapenzi mnatia kinyaa ati, badala ya kulilia pesa Na ufalme WA mbinguni nyie mnalilia wala viepe, mapenzi kwa bongo bado kabisa, fix Tu asubuh, fixes mchana fixes usiku, shida gani???? Choma sindano weka mwili wako Kama chuma
Kwani ukitoa kizazi hupat hamu ya mapenzi? [emoji16] [emoji16]Wewe kama hupendi mapenzi haina haja ya kuchoma masindano yanayokuuwa taratibu cha kufanya leta hospital wakunyofoe kizazi na mayai yote wauzie wakaanga chipsi hapo utakuwa umetatua tatizo lako..ila hutakiwi kwenda msikitini wala kanisani mana utakuwa mnafiki
Shida yako sio mapenzi, wew uko na shida kichwanEwe bidada usiku unageuka bundi kisa mapenzi, Mara unakonda kisa umepigwa chini, ooh sijui wataka unywe sumu kisa huna npenzi, looh ntampata wap Mume Mie kisa umri umeenda,
Shida yote hiyo ya nini? Kwanini usichome sindano wanazochomwa vichaa ukaa ukatulia ukapiga kazi zako kama roboti, ukajiletea maendeleo yako mwenyewe Kama nchi za magharibi? Shida gani
Wanawake wajanja siku hizi hutumia sindano za vichaa Ili kujiepusha Na kupata hisia zozote za kimapenzi, yani kifupi Ni kwamba ukichoma hiyo sindano mwili wako unakuwa hauna hisia za kimapenzi kabisa.
Kwa mana hiyo hutokuwa Na mawazo ya hapa Na pale kuhusu mapenzi, Na utakuwa upo active Kama machine guns katika kazi zako, so wakeup please acheni kulia Lia mnalilia mapenzi mnatia kinyaa ati, badala ya kulilia pesa Na ufalme WA mbinguni nyie mnalilia wala viepe, mapenzi kwa bongo bado kabisa, fix Tu asubuh, fixes mchana fixes usiku, shida gani???? Choma sindano weka mwili wako Kama chuma
Vijana WA Dar msipende chips kiasi hicho, asubuhi yote hii ushawaza chipsWewe kama hupendi mapenzi haina haja ya kuchoma masindano yanayokuuwa taratibu cha kufanya leta hospital wakunyofoe kizazi na mayai yote wauzie wakaanga chipsi hapo utakuwa umetatua tatizo lako..ila hutakiwi kwenda msikitini wala kanisani mana utakuwa mnafiki