Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Hebu chukulia tu kwamba ulikuwa na boy friend ambae mlikuwa pamoja toka secondary halafu mkamaliza pamoja masomo yenu[a level] na kwenda kuendelea na maisha na baada ya muda mkaamua kuoana,maisha ya mke na mume yakaanza.
Baada ya kumaliza masomo mlifanikiwa nyote kupata kazi sehemu tofauti
Baada ya hapo wewe ukawa unajiendeleza kimasomo zaidi na ukafanikiwa kuongeza elimu yako hiyo na kupanda kiwango,kwa upande mwingine mumeo akawa busy na maisha mengine,hakupenda kuendelea kwani yeye aliridhika na elimu aliyokuwa nayo
Kitendo cha wewe kuongeza elimu yako kilikufanya ukapandishwa cheo kazini kwako kitendo kilichoongeza kipato chako kuwa kinono sana,mshahara wako ukawa ni mara 5 ya mshahara wa mumeo,ila kwa kipindi chote mlichokuwa pamoja mlikubakiana msipate kwanza mtoto ili uweze kupata muda mzuri wa kujiendeleza kimasomo
Kitabia mumeo sio mtu wa watoto[wanawake] ni mpole sana na huwa anaonesha kukujali sana kiasi kwamba mtu akija anaweza kudhani umemloga,yaani ni kama goigoi fulani hivi
Pia kwenye upande wa maamuzi ni mzito sana yaani kukiwa na tatizo anachukua muda sana kuamua yeye kama mwanaume hadi wakati mwingine unaingilia kati,yaani huduma ya maji inaweza kuondolewa hapo nyumbani kama yeye ndie alikuwa na jukumu la kulipia au kusimamia ulipaji,pia kutokana na udogo wa kipato chake mara nyingi wewe umekuwa ukichangia karo za watoto na hata mahitaji ya nyumbani kwa kiwango kikubwa sana,na hili wala halioneshi kumkera hata kidogo mumeo yeye anaona ni sawa tu
Mmefanikiwa kujenga nyumba ambayo haijaisha lakini gharama za ujenzi wa nyumba hiyo wewe umegharamia kwa 90% na imebakiza mambo madogo tu mhamie
Kutokana na shughuli unayofanya kuna wakati unachelewa kurudi nyumbani na kumkuta anakusubiri na wala haoneshwi kukerwa na hili,anaona sawa tu
Kwenye familia wewe ndio unaonekana kama mhimili wa hiyo familia kutokana na wewe kuwajibika kwa kiasi kikubwa kwenye mambo mbalimbali
SWALI NI HILI:
Ikitokea ukapewa fursa ya kubadili mume,je utamuacha huyu?
Na kwanini?