Ewe mwanachuo jipange

Ewe mwanachuo jipange

Asante mkuu umenipa mwanga na mimi. Ubarikiwe sana
 
Hongera kwa ujumbe na uandishi makini.
Lakni nahisi kama unakipaji cha uandisi wa mashairi
 
Wewe ni msomi mzuri...umeelimika kwa maandishi yako..utakuwa asset kwa wewe na familia yako na Taifa..Mungu akubariki.
Shukrani ndugu kwa maneno yako ya kutia nguvu,ubarikiwe pia.
 
Mawazo mazuri sana,, hongera kwa hilo. Ingawa haya ni kama maneno ya kiongozi wa dini kuwaasa waumini waache maovu ilihali waliopo ndani ya nyumba hiyo ya dini ni wale waliozunguukwa na wigo wa maadili........
Namaanisha kuwa wahusika unaowashari wengi hawako huku! Wapo fb na insta.
 
Back
Top Bottom