ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 995
- 749
Tumeshajifunza mengi sana kwa wale waliojiunga tangu wiki iliyopita kama namna ya kujitambua, kwa nini watu wanashindwa kuanzisha miradi mbalimbali, na wakianza wanaogopa kushindwa na hatimaye kushindwa kufikia mafanikio. Nini tofauti ya elimu, ujuzi na uzoefu? Nini tofauti ya mfanyabiashara na mjasiriamali? Na hatimaye tukafanya uchambuzi wa safari iliyojaa mapendo ya kipato safari ya mfanayakazi wa kawaida aliye na digrii.
Ikiwa wewe ni mgeni na ungependa kujua yatakayojiri na yaliyojiri basi huna budi kutuma neno 'STUDENT WITH A MISSION kWENDA +255 752 963 962
Ndgu zangu wanafunzi katika MIRADI 15+ angalia linki hapo chini utakuta ni miradi ya kawaida sana unayoiona kila siku na utasema hakuna jipya katika miradi hii, LAKINI mi nakwambia kipo cha tofauti njoo jiunge nasi nawe utajua utofauti.
Miradi hii inazingatia sifa zifuatazo ili kukidhi vigezo ya kuwa miradi bora kwa wanafunzi na wanachuo.
1. Miradi utaayotumia muda kidogo katika kuisimamia
2. Miradi yenye kukua kwa haraka sana, yaani ukuaji wa mradi una uhusiano mkubwa na uchapaji kazi wako
3. Miradi hii inahitaji mtaji wa sifuri au mtaji kidogo sana
4. Miradi hii unazalisha pesa yaani haikulazimishi wewe kukopesha
5. Miradi hii huhitaji kuwa mzoefu
Mfano mzuri tu kesho tutaanza na kujifunza kuunda simple blogs, saa3 kamili usiku. Ukiwa ww kama mpenzi wa ujasitiamali usikose kujiunga nasi kwa kutuma neno STUDENT WITH A MISSION kwenda +255 752 693 692
Utaunganishwa katika group ya whatsapp yenye wanafunzi na wanachuo kuanzia certificates had Falsafa kutoka vyuo mbalimbali Tanzania, utakuwa unapokea email ya masomo yote yaliyojadiliwa katika whatsapp. Kwa faida yako msomaji wangu unaweza kupata nakala ya yaliyopita hapa STUDENTS WITH A MISSION: October 2015
Na hii ni ile orodha ya miradi 15 ambayo inazingatia sifa zilizotajwa hapo juu
https://www.jamiiforums.com/ujasiri...ajili-ya-wanachuo-boom-ni-mtaji-au-mzigo.html
USISAHAU KUTUMA NENO STUDENT WITH A MISSION KWENDA +255 752 693 692