chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,055
- 888
TANGAZO TANGAZO...
WASUKUMA WOTE KESHO MNAOMBWA MFIKE KIJIJI CHA MAKUMBUSHO KUANZIA ASUBUHI SAA 3.
KUTAKUWA NA MAANDAMANO KUTOKA HAPO KUELEKEA IKULU KWA MHESHIMIWA RAIS.
DHUMUNI LA MAANDAMANO NI KUPINGA UDHALILISHAJI KWENYE MITANDAO NA WIVU TUNAOONEWA WASUKUMA TOKA BRAZA AWE RAIS.
MAANDAMANO HAYO YATAONGOZWA NA FIDQ NA HBABA.
USIKOSE..
NI MIMI MJUMBE WENU MANANZENGO