Ewe Msamaria Mwema wa Kimakonde, nitafsirie hii kitu!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
4,398
Reaction score
3,330
Nitashukuru sana. Hiyo kitu itaendelea kubaki moyoni kwangu na akikini Hadi 20100
 
Ni hivi Tongolanga anawasema wale wanaojiona miungu watu huku wanawaonea wenzao kama wafanyavyo CCM kuwa hii dunia wataiacha kwasababu kulikuwa wenye nguvu wengi na washafukiwa ardhini na ubabe wao na washasahaulika ila kabaki tu Mwenye dunia yaani Mungu...
 
....View attachment 3335672 Nitashukuru sana. Hiyo kitu itaendelea kubaki moyoni kwangu na akikini Hadi 20100
Utangulizi..
Haya yanayotendwa na binadamu hapa duniani...Dunia ya Mungu..Dunia ya wenyewe..
1....tufanye matendo mema duniani..kwani tutaiacha/tunapita..
Kiitikio:
Dunia ya wenyewe...
Dunia ya wenyewe...
...........
2. Watu wote wataiacha Dunia...tuwatendee vema wenzetu...
3. Dunia ya leo watu hawapendani...hapendi kuona wengine wakiwa na furaha...watu ukiowaona machoni wanatabasamu/ wanakuchekea lakini mioyo yao haiko hivyo ....
3.......Huko ametaja tu watu/majina...kawapaisha watu tu...
UJUMBE WA JUMLA..CHILAMBO CHA VENE..DUNIA YA WENYEWE...
 
Ubarikiwe sana kiongozi🙏🙏🙏🙏

Pengo la huyu mtu aisee sijui kama litazibika.....
 
Ni hivi Tongolanga anawasema wale wanaojiona miungu watu huku wanawaonea wenzao kama wafanyavyo CCM kuwa hii dunia wataiacha kwasababu kulikuwa wenye nguvu wengi na washafukiwa ardhini na ubabe wao na washasahaulika ila kabaki tu Mwenye dunia yaani Mungu...
Ahsante sana!
 
Ahsante sana!
Maisha ni ya ajabu angalia wiki chache nyuma mzee mkuchika anaaga kwenye jimbo kakiri dhulma alizozifanya kunyonga matokeo ya uchaguzi na akaomba asamehewe...je unadhani ni wangapi wanadhulumu na kuumiza watu kwa ajili ya cheo? Yuko wapi magufuli na ubabe wake wote?....hayo yore ndipo linapotummika neno chilambo cha vene
 
Mwamba aliona mbali.
 
Back
Top Bottom