Huenda umewahi kuumizwa na wasiojua kupenda/kupendwa au hata kama siku zote umekuwa ukisubiri, nina imani kwa uzi huu ndoto yako itatimia. Sina masharti yoyote, kama umenielewa PM.
Trust me moyo unathamani kuliko Mali zote duniani, ulishasikia mtu anaumwa akapelekwa India kubadirishiwa moyo?
Hakuna, watabadirisha figo, utumbo ila siyo moyo.

Hata moyo unabadilishwa sema ni kwa watu wachache sana.Na dunia ya sasa mpaka umpate huyo wa kukupa moyo wake labda kama umzae mwenyewe na isitoshe mwanaume weweeeee thubutu eti akukabidhi moyo?
Huenda umewahi kuumizwa na wasiojua kupenda/kupendwa au hata kama siku zote umekuwa ukisubiri, nina imani kwa uzi huu ndoto yako itatimia. Sina masharti yoyote, kama umenielewa PM.
Trust me moyo unathamani kuliko Mali zote duniani, ulishasikia mtu anaumwa akapelekwa India kubadirishiwa moyo?
Hakuna, watabadirisha figo, utumbo ila siyo moyo.
So we ujui kuumiza ?
Je unaahidi raha utatoa siku zote?
Je unapesa sh ngapi kwenye account na unazungusha kwenye miradi sh ngapi?
Je mgegedo wako ni nchi ngapi?
Umeshawahi mfikisha mwanamke?