mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,413
- 5,150
Jamaa ni Mfano halisi wa ndugu wa damu .Ukiwa na kaka au dada kama huyu unapaswa kutembea kifua mbele, hakika una malaika wako duniani..Sisi wengine tulishawahi kuingia kwenye misala mizito afu mabraza wakachimba kama filbert bayi.