geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
Yah Xure
Hapo unasaka mchepuko!..
Mkuu nilitaka kujua kwa walio kwenye ndoa ndo washachelewa ama!!!Mkuu unataka mchepuko?Hapo tikisa funguonza gari na mkononi shika simu kali utaupata.
Aleluya......
Kabisa unashangaa unakutana na majin eti ndo soulmate wako
muwe makini kwa nijuavyo mimi kimfanyacho binadamu awe hivi alivyo sasa ni roho either "evil" or HOLY... na hakuna wakati wowote binadamu aka'remain as vacum lazima awe occupied na moja kati ya roho hizo ...jaribu kila siku kukaa mwenyewe sehemu tulivu ,ongea kwa kumaanisha na kuamini mf.popote ulipo nakupenda sana na najua unanipenda sana,huwa nakuwaza sana na napenda tuwe pamoja siku zote,feel what you are saying and trust me outthere kuna another soul ipo inasikia and one day utakutana nayo
muwe makini kwa nijuavyo mimi kimfanyacho binadamu awe hivi alivyo sasa ni roho either "evil" or HOLY... na hakuna wakati wowote binadamu aka'remain as vacum lazima awe occupied na moja kati ya roho hizo ...
wasiwasi wangu unakuja wakati ukianza kumeditate na kukaribisha roho ya kuongea nayo waweza karibisha roho chafu mfano jini mahaba na mengineyo ikakuletea balaa maishani...
nawasilisha kwa nia njema ...
utasikia tuu, ni suala la muda tuu mai laavHahahaha mbona me sisikii sasa kama kuna soul inayonitaja jamani. Em endelea na hilo zoezi hadi na mimi nisikie lols
vere soooon kaka ataupata ujumbe wake,,hehehahaha aisee haha
Ikitokea ukaanza hilo zoezi la kuvuta hisia seriously, je inachukua muda gani kuona matokeo? isijekuwa muda mrefu hadi ukakata tamaa.hahaha aisee haha
mimi wangu sijui atakuwa wapi jamani
Jaribu kila siku kukaa mwenyewe sehemu tulivu ,ongea kwa kumaanisha na kuamini.
Mfano popote ulipo nakupenda sana na najua unanipenda sana, huwa nakuwaza sana na napenda tuwe pamoja siku zote, feel what you are saying and trust me out there kuna another soul ipo inasikia and one day utakutana nayo.