Everybody can have a soulmate

Everybody can have a soulmate

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
Jaribu kila siku kukaa mwenyewe sehemu tulivu ,ongea kwa kumaanisha na kuamini.

Mfano popote ulipo nakupenda sana na najua unanipenda sana, huwa nakuwaza sana na napenda tuwe pamoja siku zote, feel what you are saying and trust me out there kuna another soul ipo inasikia and one day utakutana nayo.
 
inawezekana ni true.....but watu wanaweza kusema umeanza ugua kichaa...bora ufanye hayo umejifungia chumbani peke yako....

sio lazima kufanya maana humans tunamengi within,na wataokuwa na huu mtazamo wa acusation wana knowledge ndogo sana
 
jaribu kila siku kukaa mwenyewe sehemu tulivu ,ongea kwa kumaanisha na kuamini mf.popote ulipo nakupenda sana na najua unanipenda sana,huwa nakuwaza sana na napenda tuwe pamoja siku zote,feel what you are saying and trust me outthere kuna another soul ipo inasikia and one day utakutana nayo

mmm hizi style za kurusha sumu gizani unaweza ukaopoa jini au zimwi haki ya nan?
 
Mkuu REALITY hii ni kwa ma single tu au??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom