mwakipesileseba
Member
- Oct 18, 2013
- 16
- 14
Ni hatua nzuri kwa Tecno kwani simu zao zitazidi kufahamika kote ulimwenguni. Naomba niseme, simu kuwa reviewed na GSMARENA.COM haimanishi kuwa simu hiyo ni simu bora au ni brand bora kuliko zingine, gsmarena.com wanareview simu popular kulingana na wanavyozipata ko kwa miaka kadhaa nyuma huenda walikuwa hawazijui hizi Tecno. Sasa wanazipata ndo maana wameanza kureview.
Kuhusu Camon 11 au Phantom 8 ni simu za kawaida sana (kwa maoni yangu) Camon 11 haiifikii Camon CX ya Manchester City Edition kwa ubora ingawa ni ya zamani.
Sent from my BBB100-2 using Tapatalk
Kuhusu Camon 11 au Phantom 8 ni simu za kawaida sana (kwa maoni yangu) Camon 11 haiifikii Camon CX ya Manchester City Edition kwa ubora ingawa ni ya zamani.
Sent from my BBB100-2 using Tapatalk