Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
nani ka hack GSM Arena tena ?
Iphone wataona kama dharau, simu zao wataziondoa huko,
Iphone wataona kama dharau, simu zao wataziondoa huko,
yaani hii ni bonge la aibu aisee , njaa mbaya sanaNi Miujiza, Njaa Zitawaua Gsm Arena
Kwa hizo specifications za hiyo simu kama ni za kweli ina haki ya kuingia humu GSMNaomba kwa heshima na taadhima mkuu Mkwawa aje atuambie NENO kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app