Even Maximo is doing a Phenomenon Job!

Sasa nani awaambie hao vijana? Maximo ndio yupo kwenye hiyo leadership ya kuwaambia vijana, kama vijana hawaelewi labda kwa kua Maximo hana namna nzuri ya kuwaambia vijana.

Kila mtu, makocha na viongozi wa vilabu vyao, familia zao, jamii na washabiki wote. Na ili kuonyesha mfano hata wewe unaweza kuanza kumwambia Kaseja aache ujinga, ana kiwango cha kumfanya acheze mpira wa kulipwa, atazame huko sio kusikiliza maneno ya mitaa ya sikukuu na msimbazi yakimsifia hata anapokosa nidhamu. Bila kuanzia hapo, tutabadili makocha kama DJ anavyobadili miziki diskoni
 
mjadala mzuri lakini hapa si pahala pake,

mod, tafadhali hamisha hii na uipeleke kule kwenye sports & entertainment au hata habari mchanganyiko
 
Jamani, maada hii si kuhusu Maximo, bali mwajiri wa Maximo. Nimemtumia Maximo kama mfano mwingine wa kuonyesha ni jinsi gani mwajiri wake anavyoridhishwa na ukawaida wa kila kitu.

Mwajiri wa Maximo anamlipa Maximo na waajiriwa wengine wengi ambao ni Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi, lakini hakuna Ufanisi au mafanikio ya kweli.

Imebakia ni vipodozi na kauli za mwajiri kuwa ana imani nzuri na aliowaajiri.

Je mmesahau alitoa kauli gani kuhusiana na Lowassa?
 
WTZ wameridhika kabisa kwamba Maximo alikuwa analipwa na JK! JK hiyo fweza ameikwapua kwa walipa kodi. Tuna kazi hadi huu uchochoro utakapoachia ngazi.
 
Jamani, maada hii si kuhusu Maximo, bali mwajiri wa Maximo. Nimemtumia Maximo kama mfano mwingine wa kuonyesha ni jinsi gani mwajiri wake anavyoridhishwa na ukawaida wa kila kitu.

Mwajiri wa Maximo anamlipa Maximo na waajiriwa wengine wengi ambao ni Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi, lakini hakuna Ufanisi au mafanikio ya kweli.

Imebakia ni vipodozi na kauli za mwajiri kuwa ana imani nzuri na aliowaajiri.

Je mmesahau alitoa kauli gani kuhusiana na Lowassa?

Mchungaji, tufungie mjadala, japo kwa neno!
 
Rev.Kishoka said:
Jamani, maada hii si kuhusu Maximo, bali mwajiri wa Maximo. Nimemtumia Maximo kama mfano mwingine wa kuonyesha ni jinsi gani mwajiri wake anavyoridhishwa na ukawaida wa kila kitu.

Mwajiri wa Maximo anamlipa Maximo na waajiriwa wengine wengi ambao ni Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi, lakini hakuna Ufanisi au mafanikio ya kweli.

Imebakia ni vipodozi na kauli za mwajiri kuwa ana imani nzuri na aliowaajiri.

Je mmesahau alitoa kauli gani kuhusiana na Lowassa?

Rev.Kishoka,

..you need to break it down and keep it simple sometimes.

..tatizo letu ni kwamba Watanzania tuna extremely low expectations. pia hatuko results oriented hata kidogo.

..kila mara mambo yanapoharibika tunatafuta visingizio na vijisababu visivyokuwa na msingi.

..sasa ktk hili unaona hata Raisi wetu naye hayuko demanding kwa wale aliowateua.

..utendaji wa serikali ya JK hauridhishi hata kidogo. I expected more from Ari mpya, Kasi mpya, na nguvu mpya.
 
Back
Top Bottom