Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 590
- 706
Sasa ukiwa umejifunza kingereza chini ya mti unadhani utaijua lugha. Hujui lugha kaa lala.kwanza umeandika broken english, kajifunze kwanza kiingereza au tumia kiswahili tu ueleweke
"if they tired" siyo kiingereza sanifu.Sasa ukiwa umejifunza kingereza chini ya mti unadhani utaijua lugha. Hujui lugha kaa lala.
Toa s kwenye need,acha ubishiSasa ukiwa umejifunza kingereza chini ya mti unadhani utaijua lugha. Hujui lugha kaa lala.
Kuna siku insta kuna popoma lilinibishia kuhusu kiingereza,nikaliacha tu"if they tired" siyo kiingereza sanifu.
Ukikosolewa jambo usichukulie mashindano.
Jiulize au uliza wapi umekosea siyo kujibu kwa dharau au ujivuni.
😎😎😎😎😎Congratulations Aloyce. You really have a calling in BROKEN English and punctuation mistakes.
Duh! Hivi Kingereza mmejifunzia wapi? Okay nikupe elimu kidogo.Toa s kwenye need,acha ubishi
Sijui kama huwa mnakaa na kusoma kwa umakini kabla ya comment. Haya mambo ndio huwa mnafanya tunadhalilika na mataifa jirani, kwa kuweka kingereza cha kuunga kwa kamba fupi-fupi."if they tired" siyo kiingereza sanifu.
Ukikosolewa jambo usichukulie mashindano.
Jiulize au uliza wapi umekosea siyo kujibu kwa dharau au ujivuni.
Sivyo,acha kukaririDuh! Hivi Kingereza mmejifunzia wapi? Okay nikupe elimu kidogo.
"Neno 'needs' ni sahihi kwa sababu linalingana na mtendaji katika sentensi, yaani 'a CEO' ambaye ni mtu mmoja (umoja). Katika Kiingereza, vitenzi vya wakati uliopo (present tense) kwa nafsi ya tatu umoja (he, she, it, au mtu mmoja kama 'a CEO') huongezewa herufi 's' au 'es' mwishoni. Kwa hiyo, 'Even a CEO needs hands' ni sahihi. Ukiondoa herufi 's' ukasema 'Even a CEO need hands', utakuwa umetumia kitenzi kisichoendana na mtendaji katika sentensi, jambo ambalo ni makosa ya kisarufi."
Sidhani kama kuna haja ya kuendelea kujibu, na kuanzisha ligi ambayo haina maana sio uungwana kwa waliostaharabika. Endelea na Broken yako mzungu wa Kichina. 😂😂Kuandika broken ni swala moja, lkn kukosolewa na bado hauoni kosa ni swala jingine. Kiburi cha kipuuzi ni swala jingine pia.
Unatia huruma sana na kinyaa....
Sawa gallow bird eem, iandike kwa usahihi, nielimishe mimi sasa 😂😂Sivyo,acha kukariri
Leta utaalamu wako wa lugha sasa, iandike kwa usahihi, yawezekana kweli nimekosea, alafu nikawa sijui. 😂😂😂kwanza umeandika broken english, kajifunze kwanza kiingereza au tumia kiswahili tu ueleweke
Now, it’s your turn to correct my quote. Perhaps you are more knowledgeable than I am.😂😂😂Congratulations Aloyce. You really have a calling in BROKEN English and punctuation mistakes.
You will be fine... you will be fine... Continue to practice.Now, it’s your turn to correct my quote. Perhaps you are more knowledgeable than I am.😂😂😂
Sawa mkuu.Sijui kama huwa mnakaa na kusoma kwa umakini kabla ya comment. Haya mambo ndio huwa mnafanya tunadhalilika na mataifa jirani, kwa kuweka kingereza cha kuunga kwa kamba fupi-fupi.
Yupo sawa kenge wewe hao waingereza wakikosea kiswahili huwa mnawakosoa? By the way wewe ndio hujui kingerezakwanza umeandika broken english, kajifunze kwanza kiingereza au tumia kiswahili tu ueleweke