EVE - (Ruff Ryders First-lady )

Huyu dada nilikuwa namkubali saaana yani. Kuna wakati nilisikia alikuwa dem wa mtoto wa rais wa Equatorial Guinnea. Sijui waliishiaga wapi?
Eve alimtema nguema mbassongo baada ya kuhusishwa na matumizi mabaya ya fedha za umma ikiwemo kutumia pesa za umma kununulia majumba na magari, boat za kifahari u.s.a, Belgium, france
 
Eve ni rapper wa maana sana. Kuna wimbo kashirikishwa na Kelly Rowland wa Destiny's Child unaitwa "Like This", dada kachana mbayaaa
 
Namkumbuka sana kwenye Fiesta tour jijini Dar viwanja vya Gymkhana jukwaa moja na Fat Joe
 
Get your freaky on
Work it
............

hakuna mwanamke anayeweza kumfikia missy eliot kwa record ya nyimbo kali na mauzo.Kwa kifupi huyu ni Greatest female rapper of all time (G.O.A.T)
images%20-%202021-03-02T230526.100.jpg


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom