Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,663
- 840
Ni kweli kabisa. Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kulifanikisha hili ukuzingatia power iliyo nayo ndani ya East African CommunityNi mwanzo mzuri sana ila ninamshauri safari yake ya pili iwe Kigali. Ninaamini kama serikali za Burundi na Rwanda zikielewana na kuaminiana pamoja na ushirikiano mzuri na Tanzania na DRC, usalama wa eneo hilo utaimarika pamoja na uchumi wa nchi zote hizo.