Evariste Ndayishimiye: Safari yangu ya kwanza nje ya nchi nitaenda Tanzania

Ni mwanzo mzuri sana ila ninamshauri safari yake ya pili iwe Kigali. Ninaamini kama serikali za Burundi na Rwanda zikielewana na kuaminiana pamoja na ushirikiano mzuri na Tanzania na DRC, usalama wa eneo hilo utaimarika pamoja na uchumi wa nchi zote hizo.
Ni kweli kabisa. Tanzania ina nafasi kubwa sana ya kulifanikisha hili ukuzingatia power iliyo nayo ndani ya East African Community
 
Back
Top Bottom