Haya mambo wala usiumize kichwa, muhimu ni kupata codes tu! Ukisoma post ya uliyem-quote, utakutana na hii paragraph:Jamani kuna wengine tulikuwa hatuishi hapo Tanzania miaka hiyo, kwanini msiwataje tu ili tuwajuwe....kwani usenge si ni chaguo lao wenyewe? Dar kuna mabwambwa wengi mno, tunaomba mtueleze ni nani hawa?
Hapo kuna codes 4 ambazo ni:Tatu huyo kigogo anayesemwa na Chahali aliwahi kuwa mkurugenzi wa PPF, baadaye ATC na amestaafu mwaka huu tu kwa majivuno makubwa, anafahamika sio SIRI.
1. Ex PPF Boss
2. Ex ATC Boss
3 &4. Amestaafu, mwaka huu (yaani 2011).
Kwa mtu aliyewahi kuwa bosi wa ATC na PPF kuandikwa ni jambo la kawaida. Baada ya hapo ingia Google kisha aandika
ATC PPF Astaafu + 2011 na baada ya hapo ungekutana na results zifuatazo
Utaona hapo codes zote 4 zimetokea zikimhusisha mtu, na ukipitia michango ya watu, utaona neno "Machafu" linatokeza hapa na pale!!!