Evalist chahali na Ebook zake

kayumba yumba

Member
Mar 9, 2015
93
182
wakuu,nimejaribu kununua kitabu mtandaoni kwa njia ya M-pesa, kwa chahali lakini nimeshindwa kukipata wiki himeshapita sijapata kitabu sijajua kama nimezulumiwa au sijajua njia za kukipata? naombeni ushauri
 
Atakutumia. Nami pia nilifikiri hela yangu imeenda lakini nlim-DM kwenye Twitter kumkumbushia akanitumia, he also apologised for the delay.
 
Back
Top Bottom