Huyu si Dada ni Evalist Shayo, Eva ni kifupisho.Hivi huyu dada ni nani? Anaishi wapi?
Antoa tàrifa nyeti sana anazipata wapi?
Naseka picha yake uone kuwa ni mwanamkeHuyu si Dada ni Evalist Shayo, Eva ni kifupisho.
ni nonsense kusifia ujinga ambao haukusaidii chochote bali kukufanya uwe lofa zaidiHivi huyu dada ni nani? Anaishi wapi?
Antoa tàrifa nyeti sana anazipata wapi?
Anafanya kazi nzuri ya kutetea TANGANYIKA
Uneshindwa kusema nu habari gani?Hivi huyu dada ni nani? Anaishi wapi?
Antoa tàrifa nyeti sana anazipata wapi?
Anafanya kazi nzuri ya kutetea TANGANYIKA
Huyu hapa, yuko instagram na nadhani anajirekodi akiwa nje ya Tanzania. Ana mvuto kwa vile hana matusi kama Dangwa au MangeKimambi. Ni mrembo fulani ana lips za kunyonyea mshedede na sauti ya mahaba. Sijui nini kimemuingiza kwenye harakati.Ni nani huyo na ameleta habari gani?
All areas of struggle you can think of with regard to TANGANYIKA! , at least within the context of the current situationUneshindwa kusema nu habari gani?
Teka Teka ya Mafwele imetengeneza wanaharakati wengi hatariHuyu hapa, yuko instagram na nadhani anajirekodi akiwa nje ya Tanzania. Ana mvuto kwa vile hana matusi kama Dangwa au MangeKimambi. Ni mrembo fulani ana lips za kunyonyea mshedede na sauti ya mahaba. Sijui nini kimemuingiza kwenye harakati.
View attachment 3546947
Hiyo picha ni a.k.a. tu.Naseka picha yake uone kuwa ni mwanamke