Inaonekana ww hata mlio wa bunduki haujawahi sikiaTusubiri tuone! Mbona huko Yemen na kwingineko ndio wao wanapiganisha vita na kusababisha mauaji makubwa kila uchao ? Jana tu Spain imeamua kuendelea kuuzia nchi za kiarabu zinazo iaangamiza Yemen guided missiles ! Ee mungu tunusuru na wazungu hawa wasilete vita Uganda !
Kwa maana nyingine ni kwamba ungependa yatokee yaliyotokea RwandaSikubaliana na vitendo alivyofanyiwa Bob wine lakini hamna kitu nachukia kama Wazungu kutuambia cha kufanya. Kama Waganda wakifika boiling point watamtoa huyo Mzee.
You will go yourself!! Slavery mentality!Hii.ililetwa Jana hapa Mseven must Goo
Kama kuna wasaliti no way!Kwa maana nyingine ni kwamba ungependa yatokee yaliyotokea Rwanda
Sio chadema, wabunge wote wa vyama vyote.chadema jifunzeni jinsi ya kuongea bungeni oneni wabunge wenzenu wanavyoongea.Kwana wameandika hoja zao.Halafu wanaongea kwa nidhamu na direct to the point.chadema huwa mnaongea kama wavuta bangi bungeni
Hakika katika mazingira ya sasa lazima watu wenye akili wanapata taabu sana kuamua nani aungwe mkono. Watawala wetu wamegeuka kuwa miungu watu, wanakandamiza haki za watu wao, wanauwa na kuwatesa kana kwamba wanaoteswa ni binadamu daraja la chini la watesi wao! Dunia ikisubiri kila kitu kiharibike, ni dhadhari watu wengi watateseka na kufa. Yaliyotokea Rwanda mwaka 1994/95, yalitotokea Uganda mwaka 1978 hadi kung'olewa madarakani kwa nduli Idd Amin Dadaa kwa msaada wa majeshi jasiri ya Tanzania, hayawezi kuruhusiwa yajirudie tena. Hayo yote yaliyotokea Uganda, Rwanda, Somalia yamegharimu maisha ya binadamu wengi. Mnataka hili lijirudie kwa nia ya kutoingilia uhuru wa taifa la Uganda? Uhuru gani kwa wanaokandamizwa na kuteswa? Uhuru gani kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kwa kosa moja tu, la kuwakosoa viongozi walioko madarakani?Sikubaliana na vitendo alivyofanyiwa Bob wine lakini hamna kitu nachukia kama Wazungu kutuambia cha kufanya. Kama Waganda wakifika boiling point watamtoa huyo Mzee.
Sikubaliana na vitendo alivyofanyiwa Bob wine lakini hamna kitu nachukia kama Wazungu kutuambia cha kufanya. Kama Waganda wakifika boiling point watamtoa huyo Mzee.
Wameongea kwa utaratibu kwa kuwa hili wanaloliongelea halihusu maisha yao moja kwa moja. Linaihusu Africa. Waangalie wanapoongelea suala la wakimbizi kuingilia katika nchi zao. Waangalie wanapoongelea ugaidi ndani ya nchi zao! Waangalie wanapoongelea suala la Briexit . Kwanini mtu atokwe povu na suala linaloongelewa linahusu tawala za africa dhidi ya waafrica?Sio chadema, wabunge wote wa vyama vyote.
Museveni amekalia kiti kavu lkn ameyataka mwenyewe.
mbona Jiwe hujalitaja
Sikubaliana na vitendo alivyofanyiwa Bob wine lakini hamna kitu nachukia kama Wazungu kutuambia cha kufanya. Kama Waganda wakifika boiling point watamtoa huyo Mzee.