European parliament ordered Museveni to resign from power before is crashed

Kuna video YouTube wanaeleza Mali anazomiliki yeye na familia yake... Ipo mtn Uganda, warid telecom, shirika ka umeme, entebe airport, mahoteli makubwa.... Kazi anayo
 
Ndo
Kwani bunge la ulaya linahusika vipi na mambo ya uganda au afrika kwa ujumla?. Hawa wazungu wana mambo ya kitoto sana.

Ndo utajua wanahusikaje, kila siku mnatembeza mabakuli ya misaada na mikopo.. Uliza Iraq na Libya walihusikaje! Ukileta upuuzi wanakufutilia mbali.
 
Waje na akiri za kukariri hivyo hivyo upepo umebadilika kwa sasa wamsaidie kwanza ndugu yao Ukraine
 
Kwani bunge la ulaya linahusika vipi na mambo ya uganda au afrika kwa ujumla?. Hawa wazungu wana mambo ya kitoto sana.
Hahaha sio watoto mkuu ni wajanja wana tafuta Angle 90° kwa jiwe wanatumia marifa ya mafuta ya taa! yanavyo sambaa!
 
Hamna kitu kama hicho!
Siasa za vijiweni walahi!
 
Back
Top Bottom