European champions league draw

TONGONI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
1,041
373
POT 1
Manchester United
Barcelona
Chelsea
Arsenal
Real madrid
Inter Milan
Porto

POT 2
AC Milan
Lyon
Shaktar Donetsk
Valencia
Benfica
Villarreal
Cska Moscow
Marseille

POT 1
zenit st Petersburg
Ajax
Bayer Leverkusern
Olympiakos
Manchester City
Lille
Basel
Bate Birisov

POT 4
Borussia Dortmund
Napoli
Dynamo Zegreb
Apoel Nikosia
Genk
FC Victoria Plzen
Otelul Galati
Trabzonsport

It looks like Ultimate group of Death would comprise.....
BARCELONA
AC MILAN
MANCHESTER CITY
BORUSSIA DORTMUND
 
The draw is conducted at the beachside Grimaldi Forum in Monte Carlo during a lavish ceremony.
As a warmup act, Uefa will announce the inaugural winner of its Best Player in Europe award. Barcelona's Lionel Messi and Xavi Hernandez, and Madrid's Cristiano Ronaldo figure on a three-player shortlist elected by a panel of 53 journalists.
The panel, representing each of Uefa's member nations, also votes for the winner.
Uefa created the honor after "France Football" magazine combined its traditional European award with Fifa's world player prize.
 
UEFA hapa watakuwa wamechakachua...waliotoka mchangani sijawaona kwenye poti 1 iweje Arsenal?
Ebu ngoja nizitafute pots huenda mdau amekosea hapo!
 
Seven-time European champion AC Milan dropped into the pot of No. 2 seeded teams after higher-ranked Arsenal eliminated Udinese in a playoff on Wednesday.
Haya bana upekupeku nimeambulia japo kujiridhisha
 
Haya bana upekupeku nimeambulia japo kujiridhisha

Labda Wenger alimvutia waya mfaransa mwenzake Michelle Platini President wa UEFA!!

Ngoja tusubiri makundi yapangwe, ndo tutajua kama walistahili ama ni mambo ya mbeleko.
 
Kigezo gani kimetumika kuiweka arsenal kwenye poti 1 ?

Port 1 yenye timu nane inaijumuisha Arsenal kwasababu ya perfomance ya timu hiyo kwa miaka mitano iliyopita. Hii ni moja ya vigezo vilivyowekwa na UEFA yenyewe na sababu ingine ni kwamba Arsenal imekuwa ni moja ya timu hizo nane ambazo zimefunga magoli mengi kwenye mashindano hayo kwa muda wa miaka mitano iliyopita.

Arsenal licheza robo fainali mwaka 2004 dhidi ya Chelsea , 2009 dhidi ya Villareal ya Spain, fainali mwaka 2006.
 
Lakini Arsenal haijatwaa kikombe hiki hata mara moja. Performance ya AC Milan siku zote iko bomba sana hata last year, na wao ni 7 times winners. Arsenal ni ZERO winners!!
 
Lakini Arsenal haijatwaa kikombe hiki hata mara moja. Performance ya AC Milan siku zote iko bomba sana hata last year, na wao ni 7 times winners. Arsenal ni ZERO winners!!

Mkuu nimezungumzia "perfomance".
 
Mkuu nimezungumzia "perfomance".
Umeongelea performance, nami nimeongelea the same thing.
AC Milani ameshinda Scudetto last season.
AC Milan performance yake ktk UEFA Champions league last year ilikuwa juu zaidi hata ya Arsenal. Sasa sijui ni performance gani unaiongelea hapa ya Arsenal kuipiku AC milan
 
Basi tuseme Arsenal inabebwa kuwekwa port namba 1.
 
Basi tuseme Arsenal inabebwa kuwekwa port namba 1.
Utuaiwekaje timu inayostahili kuwa top see kwenye lower seed? Ama ndio hiyo FRENCH CONNECTION between profesa na Platini? Ha ha ha!!
Anyway, it's not a big deal
 
Arsenal nafikiri itapata moja ya wapinzani wafuatao.

Lyon, Valencia, Zenit St Petersburg, Dortmund na Napoli
 
Ila hapa kwenye hizi pots kuna mushkeri kidogo.....!! Porto na Inter wameipiku AC Milan duh!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom