European champions league draw

Hakuna group rahisi kwenye Champions league,mechi zote ngumu na zinaitaji kujiandaa sawa sawa kama mechi zingine.
 
French Connection ya profesa na Platini inahakikisha Arsenal anapata miteremko kila siku
Hii mentality ndio inafanya club zetu nazo zinabolonga kila siku.Mara uchawi mara rushwa.Sasa hizo timu ngumu zingine zilizobaki si mzilete kuja kureplace ambazo zilizo qualify.Kia timu iliofika kwenye stage hii imefika kwa kushinda mechi yake na zipewe heshima.hakuna mabo ya rahisi wala nini.unaona makundi yana pangwa mbele ya macho yako lakini bado mnalia Arsenal wanapewa makundi rahisi.
 
Ndio maana mnaishia quarter finals mmejitahidi sana ni semis, siku zote na hiki kikombe mtakisikia tu...hamna hata kimoja na hamtokipata
 
Mpaka sasa hali ni kama hii:

Group A: Bayern Munich
Group B:
Inter Milan
Group E: CHELSEA
Group D: Real Madrid
Group G: FC Porto
Group C: MANCHESTER UNITED
Group H: Barcelona
Group F: ARSENAL
 
Ndio maana mnaishia quarter finals mmejitahidi sana ni semis, siku zote na hiki kikombe mtakisikia tu...hamna hata kimoja na hamtokipata
Hakuna timu inayotaka kufika hizo stage na kuendelea?Ukweli ni kwamba hakuna timu rahisi kwenye champions na ukitaka kuchukua kombe u have to win ur games, haijalishi unacheza na nani.
 
A Bayern Munich, Villareal
B Inter Milan, CSKA Moscow
C Man Utd, Benfica
D Real Madrid, Lyon
E Chelsea, Valencia
F Arsenal, Marseille
G Porto, Shakhtar Donetsk
H Barcelona, Ac Milan
 
Draw ya Pot 3
A Bayern Munich, Villareal, Man City
B Inter Milan, CSKA Moscow, Lille
C Man Utd, Benfica, FC Basel
D Real Madrid, Lyon, Ajax
E Chelsea, Valencia, Bayern Leverkusen
F Arsenal, Marseille, Olympiakos
G Porto, Shakhtar Donetsk, Zenit
H Barcelona, AC Milan, Bate Borisov
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom