'Europe is poor so should live within its means'

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
Wana jf,

Kwa hakika hii kitu imenivutia sana kwa maana nimekuwa nikiamini hivi bali kwa maelezo ya huyu bwana ni confirmation that I was not wrong.


Hawa watu wa ‘Magharibi' wametuzidi akili lakini haina maana kuwa hatuna ubongo kama au ubongo wetu ni tofauti na wao, la hasha. Pale tutakapoacha kuwafuta fuata na kuanza kutumia akili zetu ndipo tutakapoanza ku narrow gap ya fikira. Na haya mambo tunaweza kuyaona Greece

Hili linaweza kuwa funzo kwa serikali yetu ambayo badala ya strategically kupeleka watu wetu Ulaya wakapate akili na kuwajengea mazingira ya kuitumia akili waliyoipata badala yake tunaenda kuomba pesa! Tuanzie hapa kuacha kuwaabudu hawa watu!

Now the emerging economies of Asia look like models of steady, consistent policy and sustained growth while Europe, America and Japan are mired in debt and are growing achingly slowly, if at all.

So what can the West learn from the East?
According to former Malaysian Prime Minister Mahathir Mohamad, the message is simple but devastating: Europe must face up to the new economic reality.
"Europe... has lost a lot of money and therefore you must be poor now relative to the past," he reasons in an interview with BBC World Service's Business Daily.
"And in Asia we live within our means. So when we are poor, we live as poor people. I think that is a lesson that Europe can learn from Asia."

Fuatilia zaidi hapa:
BBC News - 'Europe is poor so should live within its means'
 
Back
Top Bottom