Euro Truck simulation msaada

Euro Truck simulation msaada

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,084
Reaction score
1,330
Wadau wa hili game mm newbie kwa hili game, nimeanza kucheza jana tatizo steering wheel iko left while nataka iwe righthand drive .msaada hapo maana nashindwa kucontrol vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuangalia Description ya Gari unayota kuinunue kabla ya kufanya malipo
au kuwa makini katika kufanya settings unapo lounch game hilo for the first time
 
Aisee hii ngoma nina kama truck 100+ hivi garage za kutosha, na zaidi ya billion kwenye A/c [emoji4] upgrades za kutosha...
 
tafuta mod ya gari husika, mfano kama unatumia scania, tafuta 'scania accessories in ets2 1.26' kupitia google , umo kuna steering zote za left ,right na za katikati pia.
 
Moja ya A/c yang na Money iliopo
dde544fd059c3aba037103efcb425491.jpg
 
Umeanzisha kampuni kwny nchi ya left hand driving futa profile anzisha kampuni UK
 
Wadau wa hili game mm newbie kwa hili game, nimeanza kucheza jana tatizo steering wheel iko left while nataka iwe righthand drive .msaada hapo maana nashindwa kucontrol vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kuwa wewe ni newbie huwezi badili sterling wala kununua gari ila unaweza kupata gari yenye righthand ukiwa ulaya. Cha kufanya fungua profile mpya tumia nchi za bala la ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu me nnayo simulator 2 njia zimenichosha ntapataje nyingine zenye challange
 
Back
Top Bottom