Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,659
Italy wameanza kwa kupooza sana leo....
Chifu, that is how Spain plays soccer. Inacheza kwa kumiliki mpira mwanzo mwisho. Lakini hiyo haimaanishi haiwezi kufungwa. Ndiyo nikakwambia bado asubuhi.
Furahia kabumbu.
Imeanza kuwa sawa...Kumbuka injini ya Italy ni Pirlo, De Rossi na Ricardo Montolivo.....Wakitulia hawa Spain watakuwa na kazi pale katiLeo injini ya Italia - Pirlo - haipo sawa.