Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Free kick kuelekea lango la Spain...

Pirlo anapiga....Corner
 
Corner kuelekea lango la Spain,Ramos anaokoa....Corner nyingine
 
Hizi kona mfululizo zinaweza kuzaa matunda kwa Italy!
 
Italy are charging forward lakini wapi Maddog Balotelli na Spain wanatumia makosa ya defence ya Italy..................this is not good
 
Prandelli sijui kwa nini anamuweka benchi Antonio Di Natale......Huyu ni bora kuliko Antonia Cassano

Kitasa Chiellini kaumia anatoka anaingia Barzaletti
 
Substitution mapema hivi ... itakuja kuwa cost baadae
 
Dakika za mwanzo tu dalili zinaonyesha jamaa wamezidiwa..

Chifu, that is how Spain plays soccer. Inacheza kwa kumiliki mpira mwanzo mwisho. Lakini hiyo haimaanishi haiwezi kufungwa. Ndiyo nikakwambia bado asubuhi.

Furahia kabumbu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…