Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Leo hakuna cha dakika 30 za nyongeza wala penalties.....

Leo tunawahi kulala....lol
 
Wakuu hii mechi ni mechi inaonyesha ni jinsi gani timu zinavyoweza kubadilika kulingana na tactics.

Ila bado master playmaker Andrea Pirlo bado anatamba uwanjani na sijaona Mesut Ozil akifanya chochote.

Germany hawana plan yoyote juu ya kumdhibiti Pirlo na Ozil anasimama mbele zaidi badala ya kurudi nyuma kusaidia midfield na kwa kuwa Pirlo ameambiwa asimame deep ndani ya eneno la Italy bado ana uhuru wa kupanga mashambulizi kadri atakavyo.

Kweli mpira ni kitu pekee hasa unapoona different tactics zikitumika, tuangalie kipindi cha pili itakuwaje Germany wanahitaji kuongeza kasi ya kucheza.
 
Usimsahau na mtaalamu a.k.a mvurugaji........Danielle De Rossi
 
Leo ujerumani amekamatwa, afadhali atoke si kila fainali wakutane Esp na Germ.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Germany wanafanya mabadiliko.....Luka Podolski anatoka anaingia Marcus Reus......

Pia Mario Gomez ametoka ameingia Miloslav Klose
 
Germany wamefanya mabadiliko na Reus na Kloser wameingia kuwabadili Gormez na Lucas Podolski.
 
Prandeli naye amuingize Antonio Di Natale aje awamalize Germany
 
Hawa wajerumani wamekuja kasi kipindi hiki cha pili.
 
Italy wanafanya sub....

Anatoka Antonio Cassano anaingia mtaalamu Alessandro Diamante
 
Germany wameamua kutumia wachezaji wa pembeni hasa Boateng kutia mipira katikati ya eneo la Italy, ni tactic nzuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…