Hawa kina Cole sijui vp leo.... THANX for them as they gave a Semi Final TKT to ITA.... Thats so sweet to see a deserved team wins!!! Byebye wapiga Domo.... Back Home and keep Talking...
Penati aliyoipiga Andrea Pirlo na kufunga timu ya England kwenye Euro 2004 walifungwa penati kama hiyo na Helger Postiga wa Portugal.England out na Italy wameingia nusu fainali na watakutana na German.
Ndio maana nimekuuliza, manake umesema kwamba England hata angepita safari yake ingeishia kwa Ujerumani. ujumbe mwingine kwenye maneno hayo ni kwamba Italy ana nafasi ya kupita kwa UJERUMANI
Italy siku zote wanadharaulika....Hata mwaka 2006 watu waliwadharau matokeo yake wakachukua FIFA World Cup.....Na hata kwenye Euro ya mwaka 2000 walidharaulika matokeo yake walienda mpaka fainali na kushindwa na France na Golden Goal la David Trezeguet