Nasri Coach kaamua kumuadhibu baada ya kutaka kupigana Camp.... At the same time bado ana beef na EVRA.... He thinks this is the best way of punishing him.........
Huyu kocha wa Spain Vicente Del Bosque sijui kwa nini toka mashindano yameanza hajawahi kumchezesha Fernando Llorente wakati ni bonge la striker yaani yule ana undugu na nyavu.