Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Hili kundi kweli ni la mauti. Ningependa Holland waingie, lakini Ujerumani....mfupa mgumu.
Holland akishinda,wote wanapita.
Sema kama ulivyosema Germany ni mfupa mgumu.
Mie niko mbali na nyumbani leo inabidi kipindi cha kwanza niangalie kwenye simu.
Jamani wadachi, hebu tufurahisheni leo. Hii wine hapa haishuki vizuri, duh!!
OX upo??
Nipo taabani hapa, mapema sana kuachia goli.
Kuna matatizo kwenye camp ya holland.
yaani useless kabisa Nederland. Bila bidii watatoka! Germany ngome yao si mchezo!
wamenikata stimu wadachi..anyway tusubiri dk.90 zikamilike!