Eura ni wezi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eura ni wezi.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Peter Fabian, Aug 5, 2011.

 1. P

  Peter Fabian Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimebaki na washangaa wtz wanaowashukuru EURA,kwa kushusha bei ya mafuta kwa 7%mpaka 8.5%,mi nathubutu kuwaita hawa jamaa ni wezi na huenda walinyooshewa mkono na wamiliki station za mafuta,kiukweli katika soko la dunia bei ya mafuta imeshuka kwa 22%sasa kwanini wao washushe kwa 7%mpaka 8.5% kama wao sio wezi izo 15% mpaka 13.5%wanazipeleka wapi?wezi tu hao.
   
Loading...