mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,271
- 4,655
Fafanua ni kivipi UK amepotez soko compared na nchi zingine?Mkuu usitegemee 'military confrontation' in European soil kwenye karne hi kilicho bakia ni vita za uchumi ambazo UK imeanza kupoteza isipo angalia vizri kiuchumi itakuja kuzidiwa na nchi kama Spain Turkey nk.....