EU visitors to UK will need US-style electronic visas under Tory proposals

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Visitors to the UK from the European Union and the Commonewealth will have to comply with a US-style electronic visa system after Brexit, under plans set out on Monday by Home Secretary Priti Patel.
The plans for a new Electronic Travel Authorisation system (ETA) will make it easier for border guards to screen arrivals and block threats from entering the UK, the Tories say.
It is part of a five-point plan to secure the borders after Brexit and will be launched by Ms Patel and Boris Johnson at a border post.
Other measures include plans to count visitors in and out of the UK and to stop migrants using EU identity cards instead of the more secure passports.
New powers will also be brought in to...
 
Hawa Uk [emoji636] ingelikua nchi yao iko kama Iceland [emoji1127] wangelizibiti sana border yao coz ya mzunguko wa bahari so ingelikua ngumu wahamiaji na wengineo kuingia ila madhali borders zao zimeungana na EU basi ata wafanyeje ni ngumu kufanya wanavyotaka
 
Sasa hata Wafaransa inabidi waombe visa wakati ndiyo next door neighbors.
 
Unaijua UK au?? Maana yenyewe ni kisiwa kidogo tuu
Hawa Uk [emoji636] ingelikua nchi yao iko kama Iceland [emoji1127] wangelizibiti sana border yao coz ya mzunguko wa bahari so ingelikua ngumu wahamiaji na wengineo kuingia ila madhali borders zao zimeungana na EU basi ata wafanyeje ni ngumu kufanya wanavyotaka
 
Hawa Uk [emoji636] ingelikua nchi yao iko kama Iceland [emoji1127] wangelizibiti sana border yao coz ya mzunguko wa bahari so ingelikua ngumu wahamiaji na wengineo kuingia ila madhali borders zao zimeungana na EU basi ata wafanyeje ni ngumu kufanya wanavyotaka
Uk ni kisiwa haijaungana/haina mpaka na nchi yeyote.sehemu ya uk ambayo inaungana na nchi nyingine ni Northen Ireland,ambayo ndo ina mpaka(ambao haulindwi) na republic of ireland.lakin bado haiungani ki ardhi na sehemu nyingine za nchi.
 
Ireland [emoji1132] + Northern Ireland taari imeshaungana kiardhi ingawaje UK ni kisiwa kama ulivyosema
Uk ni kisiwa haijaungana/haina mpaka na nchi yeyote.sehemu ya uk ambayo inaungana na nchi nyingine ni Northen Ireland,ambayo ndo ina mpaka(ambao haulindwi) na republic of ireland.lakin bado haiungani ki ardhi na sehemu nyingine za nchi.
 
Visitors to the UK from the European Union and the Commonewealth will have to comply with a US-style electronic visa system after Brexit, under plans set out on Monday by Home Secretary Priti Patel.
The plans for a new Electronic Travel Authorisation system (ETA) will make it easier for border guards to screen arrivals and block threats from entering the UK, the Tories say.
It is part of a five-point plan to secure the borders after Brexit and will be launched by Ms Patel and Boris Johnson at a border post.
Other measures include plans to count visitors in and out of the UK and to stop migrants using EU identity cards instead of the more secure passports.
New powers will also be brought in to...
Mimi kwa mtizamo wangu UK baada ya brexite itahitaji sana EU kuliko EU itakapohitaji UK kwahiyo migration policy zao lazima zisiwe unfriendly kwa EU citizen na common wealthy coutries......
 
Wanarecruit India vijana wa IT na junior doctors
 
Mimi kwa mtizamo wangu UK baada ya brexite itahitaji sana EU kuliko EU itakapohitaji UK kwahiyo migration policy zao lazima zisiwe unfriendly kwa EU citizen na common wealthy coutries......
Uhusiano kati ya EU na UK hauwezi kwisha moja kwa moja kwa ajiri ya ya kujitoa kwao.Bado kuna mambo mengi watashirikiana,na hiyo inategemea na deal ambazo watakubaliana kwenye Brexit,sidhani kama kutakuwa na viza kwao kuingia UK,naona kuishi na kufanya kazi ndo wataweka restrictions,ilikuwa hiv zamani.
Uk wanataka wawe free kufanya biashara na nchi nyingine nje ya EU pia kuchukua talent kutoka nchi yeyote wanayotaka.Hapa fursa kwa nchi nyingi,wahindi wanachangamkiaga sana hizi nafasi,ila nchi kama Tanzania na wananchi wake sababu ni commo wealth,ingeweza pia kunufaika kama wataweza kufuatilia hizi nafasi,nakumbuka miaka ya tisini, wazimbambwe na wakenya wengi walikuja kama manesi UK.
 
Waneweka elecronic viza kwa raia wa EU kuingia UK. Hii ni sawa na raia wa Ulaya wanavyoingis Marekani. Unaomba on line na unasubiri majibu.
 
Uhusiano kati ya EU na UK hauwezi kwisha moja kwa moja kwa ajiri ya ya kujitoa kwao.Bado kuna mambo mengi watashirikiana,na hiyo inategemea na deal ambazo watakubaliana kwenye Brexit,sidhani kama kutakuwa na viza kwao kuingia UK,naona kuishi na kufanya kazi ndo wataweka restrictions,ilikuwa hiv zamani.
Uk wanataka wawe free kufanya biashara na nchi nyingine nje ya EU pia kuchukua talent kutoka nchi yeyote wanayotaka.Hapa fursa kwa nchi nyingi,wahindi wanachangamkiaga sana hizi nafasi,ila nchi kama Tanzania na wananchi wake sababu ni commo wealth,ingeweza pia kunufaika kama wataweza kufuatilia hizi nafasi,nakumbuka miaka ya tisini, wazimbambwe na wakenya wengi walikuja kama manesi UK.
Mkuu kumbuka deal yenyewe bado hawajafikia lakini UK inahitaji deal kuliko EU unavo hitaji deal na pia UK ikifail conclude deal bora kuhusisha refurundum ya final say kurudi EU kuliko kubaki peke yao kumbuka uchumi wa UK 21% kwa uchumi wa EU......sasa lazm wacheze karata zao na uangarifu sanaa
 
EU wamekataa kusubiri UK kwa na referundum kwani ni wao walianza mazungumzo ya kujitolea. UK ilikuwa inachanga pesa nyingi sana EU kila mwaka. Pesa hii itasaidia NHS, kilimo na social security kwa wahitaji.

Uhusiano haiwezi kufa kabisa kuna mikataba ya miaka 99 itaachwa mpaka imalizike. Si ajabu kizazi kijacho kikarudisha EU in a better deal.
 
True huwezi kutoa uhusiano wa UK na EU completely....Ila dominancy ya UK kama work shop of the world navy supremacy strong monitory institution it will be no more.....hata common wealthy country zitaona bora kua na economic agreement na EU mwenye uchumi mkubwa kuliko UK hilo jambo la kujiengua kutoka UK walilifanya kimzaa lakini wanajutia sana, kumbuka sasa hivi siasa za uingereza imebadilika sana agenda kubwa imekua Brexite tu.
 
Yes,kitu hiki watu wengi wanasahau wakizungumzia UK kujitoa EU, UK sio poland, Romania au portugal (no offence intended),ni moja ya nchi zenye uchumi duniani na kwenye huu umoja wa EU, hivo kujitoa kwao pia kutaathiri nchi za EU ki pesa.Uk wa me invest sana Europe,na wanunuzi wakubwa wa EU.Germany cars,French cars soko lao kubwa lipo UK.Bado bidhaa za mazao na wanyama,kumbuka UK hawalimi sana lakin hukosi kitu madukani,uwezo wa mfuko wao ndo wanaoringia na kujiona wataweza kivyao.
 
Mkuu kumbuka Germany inauchumi mkubwa katika bara la Ulaya ni wanne duniani baada ya US China na Japan la pili ppn ya Germany na France ni kubwa kuliko ya UK na pia foreign invstment siliko UK kutoka katika raia wa EU ninyingi kuliko za UK kwenye nchi zingine so Brexite will affect her heavily kuliko EU.
 
True huwezi kutoa uhusiano wa UK na EU completely....Ila dominancy ya UK kama work shop of the world navy supremacy strong monitory institution it will be no more.....hata common wealthy country zitaona bora kua na economic agreement na EU mwenye uchumi mkubwa kuliko UK hilo jambo la kujiengua kutoka UK walilifanya kimzaa lakini wanajutia sana, kumbuka sasa hivi siasa za uingereza imebadilika sana agenda kubwa imekua Brexite tu.
Nakubalianaa na wewe,lakin kila mtu anamuhitaji mwenzake,UK sio maboya kiivo ujue.Uk wana mkono sehemu nyingi nyanja zote ulizotaja,pia Location yao(ni kisiwa) inawapa advantage ki ulinzi kuliko nchi zingine,kumbuka Hittler alishindwa kuingia .
Navy supremacy,monitory institution well,siku UK ikivamiwa basi jua m faransa hayupo safe na German atakuwa Concerned,America ,Canada,Australia wata re act.Point yangu ni ili mataifa hayo makubwa yawe salama,ni lazima yalindane watake wasitake,wapendane wachukiane.
Thats how it works.
 
Back
Top Bottom