mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,260
- 12,871
Wana fuata more 'green pasture' uchumi ukishuka watakimbilia US Canada kama raia kamili wa uingereza baada ya kupata karatasi, wakati pesa wanatuma India......Matatizo gani?
Wana fuata more 'green pasture' uchumi ukishuka watakimbilia US Canada kama raia kamili wa uingereza baada ya kupata karatasi, wakati pesa wanatuma India......Matatizo gani?
Wazungu si wajinga, wanaajiriwa kwa mshahara wa certificate na wanapewa muda wa kufanya mitihani mpaka wafike UK degree level. Kipindi chote hiki wanafanya kazi.Wana fuata more 'green pasture' uchumi ukishuka watakimbilia US Canada kama raia kamili wa uingereza baada ya kupata karatasi, wakati pesa wanatuma India......
I don't think so, Scotland yard is more smarter than them.....CIA is meant for 3rd world countries like TzCIA walicheza mchezo
Ivi zile lorry zinazoingia Northern Ireland huwa zinapaa
Mkuu usitegemee 'military confrontation' in European soil kwenye karne hi kilicho bakia ni vita za uchumi ambazo UK imeanza kupoteza isipo angalia vizri kiuchumi itakuja kuzidiwa na nchi kama Spain Turkey nk.....Nakubalianaa na wewe,lakin kila mtu anamuhitaji mwenzake,UK sio maboya kiivo ujue.Uk wana mkono sehemu nyingi nyanja zote ulizotaja,pia Location yao(ni kisiwa) inawapa advantage ki ulinzi kuliko nchi zingine,kumbuka Hittler alishindwa kuingia .
Navy supremacy,monitory institution well,siku UK ikivamiwa basi jua m faransa hayupo safe na German atakuwa Concerned,America ,Canada,Australia wata re act.Point yangu ni ili mataifa hayo makubwa yawe salama,ni lazima yalindane watake wasitake,wapendane wachukiane.
Thats how it works.
Elimu ni kitega uchumi kikubwa sana UK. Wanafunzi kutoka China, Africa, India nk wazima UK na international fees si ya kitoto. Waliwekeza sana kwenye universities, IT pia. Kumbuka London is a financial hub. Mikutano mingi inafanyika na inaleta faida kwenye hospitality industry.Mkuu usitegemee 'military confrontation' in European soil kwenye karne hi kilicho bakia ni vita za uchumi ambazo UK imeanza kupoteza isipo angalia vizri kiuchumi itakuja kuzidiwa na nchi kama Spain Turkey nk.....
True... ila hayo yote yatapungua kwa % fulani wakifanikiwa kwa Brexite bcz migration policies pia zitabadilika na alternative countries kama Canada are good too,Elimu ni kitega uchumi kikubwa sana UK. Wanafunzi kutoka China, Africa, India nk wazima UK na international fees si ya kitoto. Waliwekeza sana kwenye universities, IT pia. Kumbuka London is a financial hub. Mikutano mingi inafanyika na inaleta faida kwenye hospitality industry.
Royal family ni kivutio kikubwa cha utalii.
Stident visa kwa China ziko flexible mmno, hata tourist visa. Sisi tu developing world hatuaminiki.True... ila hayo yote yatapungua kwa % fulani wakifanikiwa kwa Brexite bcz migration policies pia zitabadilika na alternative countries kama Canada are good too,
Tatizo la kusomea China, society yao haiwezi kuku obsorb baada ya kumaliza shule ndomaana wengi hawchangamkie kuenda China kusoma.Stident visa kwa China ziko flexible mmno, hata tourist visa. Sisi tu developing world hatuaminiki.
Na wa China wanaosoma Western countries wana advantage ya kuwa bilingual. Kwao ni hot cake katika dili za biashara.Tatizo la kusomea China, society yao haiwezi kuku obsorb baada ya kumaliza shule ndomaana wengi hawchangamkie kuenda China kusoma.
Watapoteza watalii wa ulaya ,watapata wa sehemu nyingine,its all about adjusting! UK sio one trick ponnyTrue... ila hayo yote yatapungua kwa % fulani wakifanikiwa kwa Brexite bcz migration policies pia zitabadilika na alternative countries kama Canada are good too,
England means the land of Angles, Angles were Germans who moved to England in the medieval era.Nje ya mada kidogo, naomba kujulishwa ni wakati gani Waingereza wanaitwa England, United Kingdom na Britain.
Ivi zile lorry zinazoingia Northern Ireland huwa zinapaa
Jaribu kugoogle au hata zile Atlas za zamani utaona UK ni kisiwa. Lorry zinaingia kutoka France kwa kutumia ferry
Sio kweli zile zilikua propaganda za kampeni za brexit camp, watu hasa wa vijijini ndo wanawalaumu brexit Kwa kuwadanganyaEU wamekataa kusubiri UK kwa na referundum kwani ni wao walianza mazungumzo ya kujitolea. UK ilikuwa inachanga pesa nyingi sana EU kila mwaka. Pesa hii itasaidia NHS, kilimo na social security kwa wahitaji.
Uhusiano haiwezi kufa kabisa kuna mikataba ya miaka 99 itaachwa mpaka imalizike. Si ajabu kizazi kijacho kikarudisha EU in a better deal.
Sio ferry kuna barabara ya magari na treni zinapitaJaribu kugoogle au hata zile Atlas za zamani utaona UK ni kisiwa. Lorry zinaingia kutoka France kwa kutumia ferry
Nchi iliyo na nafasi ya kumpita kiuchumi ni France, na sio Spain au turkeyMkuu usitegemee 'military confrontation' in European soil kwenye karne hi kilicho bakia ni vita za uchumi ambazo UK imeanza kupoteza isipo angalia vizri kiuchumi itakuja kuzidiwa na nchi kama Spain Turkey nk.....
Sio ferry kuna barabara ya magari na treni zinapita