EU na US ni lini mliipenda Afrika, kama sio unafiki?

Kwa akili zako za bongolala usijidanganye kama una uwezo wa kum-chalenji mtu hapa maana huna akili
Nina kila sababu ya kuandika humu kwa nia ya kuwachallenge nyinyi mliojifanya makuwadi wa EU sasa hivi.
Kwani zzkabwela anavyoandika maazimio ya tea party yao zanzibar kwa kiingereza na kuitupia humu JF ndio EU?
Kila mkiulizwa swali au hoja muhimu msizoweza kujibu mnakimbilia kusema mwanalumba huyu,
Shame on all of you wengine tunapambana na maisha kwa uwezo wetu na hatulalamiki kama nyinyi bavichaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bakuli limewadodea sasa kwa hoja 15
Hoja za wapinzani 2015 ilikuwa ccm ni walewale, hata ukimchagua JPM yuko chini ya system hawezi kuwaudhi.

2018
Hoja za wapinzani twende na membe 2020!
Khe! Kulikoni???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Saa nyingine akili zenu muwe mnazitumia kufikiri na msitumie vichwa vyenu kubebea nywele tu.
Hivi ukipewa msaada ndio ukubali lolote utakaloamriwa na mtoa msaada bila kuhoji?
Kwani hujui pia hii misaada mara nyingi huwa sio ya bure maana huwa inapanua ajira na pia kuzifanya nchi donors kuuza material za viwanda vyao kulingana na project lengwa!
Ebo!!
Nchi za kiafrica haziwezi kuendelea bila misaada ya wazungu, hiyo ndiyo mifumo iliyo kwisha wekwa na tawala za viongozi wa kiafrica
 
Nchi za magharibi Ni wanafki tu

Ni heri tuende sawa na wachina kibiashara zaidi
Wanafiki huku mnakula vyao? Kila kitu kwa hisani ya watu Marekani.Huoni sisi tunaokula vyao ndo wanafiki?Sasa tunataka kuwa na wachina kinafiki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama nakuona hapo na vidole juu..

Kwa kifupi tunapenda tuongozwe kwa kufuata katiba iliyopo pamoja na mapungufu yake.. mikutano imeruhusiwa kisheria ifanyike.. Maandamano yameruhusiwa kisheria yafanyike.. Asitokee mtu akajifanya yeye mungu mtu, akataka asujudiwe.. Hilo hapana.. Tukihoji matumizi au kupinga professiour rubish, hoja zitumike, na sio risasi wala magereza..
Tangia siasa za vyama vingi kuanza nchi hii, wanasiasa wengine upinzani hawaijui maana halisi ya demokrasia.
Kwao demokrasia ni kuitisha maandamano, kufanya fujo bungeni, na kuvizia kauli za marais wanaokuwa madarakani ili kuzitumia kupotosha.

Hawawezi kukaa na kujenga sera za vyama vyao na kuzinadi kwa wapiga kura.
Badala yake hujichonganisha na mamlaka ili wakichukuliwa hatua stahiki, wawalilie wapiga kura ili kupata kura za huruma.
Kwao kila kifanywacho na serikali hata kiwe kizuri vipi hujotia upofu.
Shame on wanajiita wapinzani kumbe njaa tupu.
Maslahi binafsi kila mmoja.
 
Nakumbuka jamaa akiwa Mwanza anasema "hawa msiwabomolee hata kama wamefanya makosa maana ndio walionipa kura"!
Ukisikiliza alivyomjibu Mnyika majuzi kuhusu wananchi waliobomolewa morogoro road,unabaki unajiuliza kama wanqnchi wote tuko sawa au wasukuma wana thamani zaidi!
Usimlishe maneno, mwanza kigoto police barracks, wale wakazi walikuwepo pale kabla nyumba zile hazijakabidhiwa police.
Long time.
polisi wao walitaka kuwafukuza tu raia mbali na kambi.
Tofauti na hawa wa daresalaam wao ni hifadhi ya barabara rasmi.
Kwa nini mnapenda unafiki namna hii?
 
Tangia siasa za vyama vingi kuanza nchi hii, wanasiasa wengine upinzani hawaijui maana halisi ya demokrasia.
Kwao demokrasia ni kuitisha maandamano, kufanya fujo bungeni, na kuvizia kauli za marais wanaokuwa madarakani ili kuzitumia kupotosha.

Hawawezi kukaa na kujenga sera za vyama vyao na kuzinadi kwa wapiga kura.
Badala yake hujichonganisha na mamlaka ili wakichukuliwa hatua stahiki, wawalilie wapiga kura ili kupata kura za huruma.
Kwao kila kifanywacho na serikali hata kiwe kizuri vipi hujotia upofu.
Shame on wanajiita wapinzani kumbe njaa tupu.
Maslahi binafsi kila mmoja.
Umeongea mengi ambayo sio ya ukweli.. lakini hata kama yangelikuwa ya kweli, bado hai-justify kuvunjwa kwa katiba na sheria zake..
 
Unalazimisha uteuzi wakati unakataa kulea mtoto wa Bashite?
Tangia siasa za vyama vingi kuanza nchi hii, wanasiasa wengine upinzani hawaijui maana halisi ya demokrasia.
Kwao demokrasia ni kuitisha maandamano, kufanya fujo bungeni, na kuvizia kauli za marais wanaokuwa madarakani ili kuzitumia kupotosha.

Hawawezi kukaa na kujenga sera za vyama vyao na kuzinadi kwa wapiga kura.
Badala yake hujichonganisha na mamlaka ili wakichukuliwa hatua stahiki, wawalilie wapiga kura ili kupata kura za huruma.
Kwao kila kifanywacho na serikali hata kiwe kizuri vipi hujotia upofu.
Shame on wanajiita wapinzani kumbe njaa tupu.
Maslahi binafsi kila mmoja.
 
Tangia siasa za vyama vingi kuanza nchi hii, wanasiasa wengine upinzani hawaijui maana halisi ya demokrasia.
Kwao demokrasia ni kuitisha maandamano, kufanya fujo bungeni, na kuvizia kauli za marais wanaokuwa madarakani ili kuzitumia kupotosha.

Hawawezi kukaa na kujenga sera za vyama vyao na kuzinadi kwa wapiga kura.
Badala yake hujichonganisha na mamlaka ili wakichukuliwa hatua stahiki, wawalilie wapiga kura ili kupata kura za huruma.
Kwao kila kifanywacho na serikali hata kiwe kizuri vipi hujotia upofu.
Shame on wanajiita wapinzani kumbe njaa tupu.
Maslahi binafsi kila mmoja.
Unaandika upuuzi mtupu kujustify hoja zako!Fuatilia,hakuna mahala popote nchi ambapo mikutano ya hadhara au maandamano ya upinzani yamewahi leta vurugu kama hayauingiliwa na vyombo vya dola!
Kama hamuipendi mikutano ya kisiasa basi pelekeni muswada bungeni mbadilishe katiba na kuondoa haki hiyo iliyopo kikatiba!
Haiwezekani mtu mmoja ndio awe sheria na katiba ya nchi,ajiamulie anavyotaka!
Nawaambia athari zake ni kubwa,siku akiingia Rais na hulka zake anaweza fanya mambo ya ajabu mpaka watu mtashangaa kwamba huu mwanya uliachwa vipi wa kumuachia mtu mmoja madaraka makubwa kiasi hicho!
Mtu kama anaweza fanya manunuzi ya matriolioni ya fedha kwa utashi wake,tunategemea nini?
Awamu hii ikitoka madarakani ndio tutaona madudu yake,kwa sasa inakazana kuwafunga ma whistleblower kwa vijisheria uchwara vya takwimu na sheria za mitandao!
What a jerk!!!
 
Mikutano mingi ndio haikuwahi kuleta vurugu.
Ila mikutano mingi pia imewahi kuleta maafa nchini na huu ni ukweli.hata kwa JK huyu mnaemsifu leo hii,ndiye yule mliyewahi kuitisha maandamano mkidai nchi isitawalike.

Na hata pale mlipoitisha na kupewa vibali mliishia kuanzisha chokochoko kwa kuomba kibali cha mkutano na mkamalizia kwa kuongezea maandamano.

Na mlipoomba maandamano na kupewa vibali basi mlipinga route za kuyapitishia, lengo likiwa ni kutafuta chokochoko na vyombo vya dola. Ili muonekane kuonewa na pia mpate cha kuombea msaada toka kwa mabeberu yenu.

Leo mbalalamika JPM kuchukuwa maamuzi magumu, lakini hiyo ndiyo ilikuwa kauli mbiu yenu huko awali.
Kufanya manunuzi ya trillions sio kosa maana hajamnunulia mama yake nguo bali anayatumia tunayaona na sio kama mbowe anavyotumia ruzuku ya chadema kama mali yake na J mukya.

Tunajenga Tanzania mpya.
"UTII BILA UHURU NI UTUMWA,
NA UHURU BILA UTII NI WENDAWAZIMU "
MWL J.K.NYERERE.[emoji1241]
 
-Ndio nasema kama mnaona mikutano haifai nendeni mkabadilishe katiba,hiyo siyo hisani bali takwa la kikatiba!Ni aibu kwa Rais aliyeapa mbele ya kadamnasi kuilinda na kuitetea katiba anakuwa mtu wa kwanza kuivunja!Hata alipoulizwa swali hilo na Pascal Mayalla aliishia kusema Mayalla ni njaa,akapiga blah blah bila hata kujibu swali la msingi!
-Hayo manunuzi ya matrilioni ya shilingi,unajua kuna urasimu kiasi gani?Je,kama anakula 10% kuwapa tenda watu fulani?Nikwambie tu,utaratibu wa manunuzi ya umma uliwekwa ili kuepuka viongozi kutoa tenda kiuoendeleo kwa manufaa binafsi!Ndio maana hata kivuko kibovu alichonunua kwa bei ya kutupa akawapa wajeda ili muache kuhoji hoji!
Kajipatia tenda mwenyewe ya kutengeneza vitambulisho vya wajasiliamali,je,unaijua gharama halisi ya kutengeneza vitambulisho hivyo?Unaijua kampuni inayotengeneza vitambulisho hivyo?Je,kama ni mradi wake binafsi?

Uozo wa serikali hii utaonekana pale atakapokuja Rais mwingine!

Bunge lilitoa mapendekezo ya kuwekwa wazi mikataba ya gas na madini,na yeye akaafiki kwa 100%!Mpaka leo zaidi ya kusikia tumepigwa kwenye gas,mikataba hiyo iko wapi?????????Zaidi tunasikia serikali awami ya 5 imejiondoa katika mpango wa uendeshaji wa shughuli zake kwa uwazi!!!!!

Kuna nini kinafichwa????Tafakari
 
Nina kila sababu ya kuandika humu kwa nia ya kuwachallenge nyinyi mliojifanya makuwadi wa EU sasa hivi.
Kwani zzkabwela anavyoandika maazimio ya tea party yao zanzibar kwa kiingereza na kuitupia humu JF ndio EU?
Kila mkiulizwa swali au hoja muhimu msizoweza kujibu mnakimbilia kusema mwanalumba huyu,
Shame on all of you wengine tunapambana na maisha kwa uwezo wetu na hatulalamiki kama nyinyi bavichaa
stop advertising your foolishness!!
 
Mikutano mingi ndio haikuwahi kuleta vurugu.
Ila mikutano mingi pia imewahi kuleta maafa nchini na huu ni ukweli.hata kwa JK huyu mnaemsifu leo hii,ndiye yule mliyewahi kuitisha maandamano mkidai nchi isitawalike.

Na hata pale mlipoitisha na kupewa vibali mliishia kuanzisha chokochoko kwa kuomba kibali cha mkutano na mkamalizia kwa kuongezea maandamano.

Na mlipoomba maandamano na kupewa vibali basi mlipinga route za kuyapitishia, lengo likiwa ni kutafuta chokochoko na vyombo vya dola. Ili muonekane kuonewa na pia mpate cha kuombea msaada toka kwa mabeberu yenu.

Leo mbalalamika JPM kuchukuwa maamuzi magumu, lakini hiyo ndiyo ilikuwa kauli mbiu yenu huko awali.
Kufanya manunuzi ya trillions sio kosa maana hajamnunulia mama yake nguo bali anayatumia tunayaona na sio kama mbowe anavyotumia ruzuku ya chadema kama mali yake na J mukya.

Tunajenga Tanzania mpya.
"UTII BILA UHURU NI UTUMWA,
NA UHURU BILA UTII NI WENDAWAZIMU "
MWL J.K.NYERERE.[emoji1241]
Foolish fool
 
-Ndio nasema kama mnaona mikutano haifai nendeni mkabadilishe katiba,hiyo siyo hisani bali takwa la kikatiba!Ni aibu kwa Rais aliyeapa mbele ya kadamnasi kuilinda na kuitetea katiba anakuwa mtu wa kwanza kuivunja!Hata alipoulizwa swali hilo na Pascal Mayalla aliishia kusema Mayalla ni njaa,akapiga blah blah bila hata kujibu swali la msingi!
-Hayo manunuzi ya matrilioni ya shilingi,unajua kuna urasimu kiasi gani?Je,kama anakula 10% kuwapa tenda watu fulani?Nikwambie tu,utaratibu wa manunuzi ya umma uliwekwa ili kuepuka viongozi kutoa tenda kiuoendeleo kwa manufaa binafsi!Ndio maana hata kivuko kibovu alichonunua kwa bei ya kutupa akawapa wajeda ili muache kuhoji hoji!
Kajipatia tenda mwenyewe ya kutengeneza vitambulisho vya wajasiliamali,je,unaijua gharama halisi ya kutengeneza vitambulisho hivyo?Unaijua kampuni inayotengeneza vitambulisho hivyo?Je,kama ni mradi wake binafsi?

Uozo wa serikali hii utaonekana pale atakapokuja Rais mwingine!

Bunge lilitoa mapendekezo ya kuwekwa wazi mikataba ya gas na madini,na yeye akaafiki kwa 100%!Mpaka leo zaidi ya kusikia tumepigwa kwenye gas,mikataba hiyo iko wapi?????????Zaidi tunasikia serikali awami ya 5 imejiondoa katika mpango wa uendeshaji wa shughuli zake kwa uwazi!!!!!

Kuna nini kinafichwa????Tafakari
Nyinyi endeleeni kulilia hiyo katiba na JPM wacha awajengee nchi ili watoto wenu na vizazi vipya waje ku enjoy.

Hakuna deal kwa sasa HAPA NI KAZI TUUU [emoji1241]
 
Pale kijana wa lumumba anapoelemewa kwa hoja!
Siku njema ndugu!
 
Back
Top Bottom