EU na US ni lini mliipenda Afrika, kama sio unafiki?

EU na US ni lini mliipenda Afrika, kama sio unafiki?

Kuna mtu kakulazimisha utatuliwe hayo marinda?Mbona mnapotosha?Kwa manufaa ya nani?Mnajificha nyuma ya mgongo huo kutetea uovu wa jiwe ambaye anataka kutawala kama mfalme!Shame!
Sisi watanzania anatufaa sana, wewe mkimbizi unaweza kurudi kwenu tu wala hamna shida
 
Sisi watanzania anatufaa sana, wewe mkimbizi unaweza kurudi kwenu tu wala hamna shida
Hahahahaaaaa,nchi hii hatoki mtu na nitaendelea kumkosoa Jiwe mpaka anatoka madarakani!
Nchi ya watu mil 50 haiwezi kuharibiwa na mtu mmoja kiss tu ajifurahishe nafsi!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni ajabu kuzikosa pesa hizi kwa mambo ya kijinga ya viongozi!Kukiwa na demokrasia tunapungua nini?Tukiwa na uhuru wa kujieleza tunapungukiwa nini?Tukiacha kuwanyanya raia wetu tunapungukiwa nin?Kwenye hili Jiwe simuungi mkono,yaani nchi ikose fedha za maendeleo kisa yeye afurahi kwa mambo ya hovyo ya kunyanyasa wanaomkosoa!Shame!
Hivi nini maana ya uhuru wa kujieleza?
Haya yoote mnayoyasema mnayasema mkiwa nchi gani?
Mkiingia bungeni mnatukana mpaka mwisho.
Siku hizi online televisions zoote ni press co nference kila uchao mbona mnatukana rais wetu all time!
Ipi hiyo demokrasia mnayoitaka?
Mkipewa uhuru wa mikutano Nyinyi ni maandamano tu, mtafikiri huwa hamna shughuri zingine wananchi wanataka
Kufanya khe!
Hamna sera nyie!
 
Badilisheni katiba ili tuondoe mikutano ya hadhara kama haki ya vyama vya siasa!Haiwezekani mtu mmoja ajigeuze sheria!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaaaaa,nchi hii hatoki mtu na nitaendelea kumkosoa Jiwe mpaka anatoka madarakani!
Nchi ya watu mil 50 haiwezi kuharibiwa na mtu mmoja kiss tu ajifurahishe nafsi!
Huna lolote wewe una uchungu wa kutumbuliwa tu hamna lolote.
Yaani ukweli ni kwamba kila amchukiaye JPM kuna jiwe la gizani limempata tu.
 
Hivi nini maana ya uhuru wa kujieleza?
Haya yoote mnayoyasema mnayasema mkiwa nchi gani?
Mkiingia bungeni mnatukana mpaka mwisho.
Siku hizi online televisions zoote ni press co nference kila uchao mbona mnatukana rais wetu all time!
Ipi hiyo demokrasia mnayoitaka?
Mkipewa uhuru wa mikutano Nyinyi ni maandamano tu, mtafikiri huwa hamna shughuri zingine wananchi wanataka
Kufanya khe!
Hamna sera nyie!
Kama nakuona hapo na vidole juu..

Kwa kifupi tunapenda tuongozwe kwa kufuata katiba iliyopo pamoja na mapungufu yake.. mikutano imeruhusiwa kisheria ifanyike.. Maandamano yameruhusiwa kisheria yafanyike.. Asitokee mtu akajifanya yeye mungu mtu, akataka asujudiwe.. Hilo hapana.. Tukihoji matumizi au kupinga professiour rubish, hoja zitumike, na sio risasi wala magereza..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huna lolote wewe una uchungu wa kutumbuliwa tu hamna lolote.
Yaani ukweli ni kwamba kila amchukiaye JPM kuna jiwe la gizani limempata tu.
Hahahahahaaaa,ndiyo limenipata!Mwaka wa 3 huu sijapanda daraja wala annual increment hakuna!
 
Kama nakuona hapo na vidole juu..

Kwa kifupi tunapenda tuongozwe kwa kufuata katiba iliyopo pamoja na mapungufu yake.. mikutano imeruhusiwa kisheria ifanyike.. Maandamano yameruhusiwa kisheria yafanyike.. Asitokee mtu akajifanya yeye mungu mtu, akataka asujudiwe.. Hilo hapana.. Tukihoji matumizi au kupinga professiour rubish, hoja zitumike, na sio risasi wala magereza..
Nakumbuka jamaa akiwa Mwanza anasema "hawa msiwabomolee hata kama wamefanya makosa maana ndio walionipa kura"!
Ukisikiliza alivyomjibu Mnyika majuzi kuhusu wananchi waliobomolewa morogoro road,unabaki unajiuliza kama wanqnchi wote tuko sawa au wasukuma wana thamani zaidi!
 
Halafu unakuta makasuku kama huyu mleta uzi wanamsujudia huyu kama Saint vle.. Stupid..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Fupisha mlomo na ngonjera nyingi; tusaidie kujibu haya machache kwa kifupi sana.
1. Tusaidie kujibu zile hoja 15 zote walizoainisha.
2. Mtaacha lini kutembeza bakuli huko majuu maana mnajua ni wanafiki na sio wajomba zenu kuwapa misaada bure lakini bado mnaendaga tu; kwa nini?
3. Je kati ya hoja zao 15 zote ni uzushi na uongo mtupu?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naona umevimbiwa na makande,kwani mnapokuwa mnatembeza bakuli lenu kwao na wakawasaidia mnafikiri ni wajomba zenu?
Historia ni somo zuri maana huwa halidanganyi.
Tunawaona hawa EU wanavyojifanya sasa kutaka kutuaminisha kwamba ni wapenda demokrasia mahiri.mimi binafsi na pia wengi wenye mtazamo kama wangu tunashangaa sana.

Na maswali haya hayawezi kupita bila kuulizwa.
Enzi za kupigania uhuru wa zaire wakati huo ikiongozwa na shujaa Patrice lumumba,ni hii ubelgiji ndio nchi ambayo ilihakikisha inasaidiana na wamarekani kumuua Lumumba na kumtumbukiza kwenye pipa la acid ili atokomee kabisa.
Baada ya hapo wakamuweka kibaraka wao Mobutu seseko na kongo iko kwenye uporwaji mpaka leo.
Je leo hii wanatokea wapi kusema haya wayasemayo?

Marekani imeharibu demokrasia ya kiarabu huko Iraq,Afghanistan,Syria,Libya,Tunisia na Egypt.
Sasa hivi hata amani ya ulaya iko kwenye tishio kutokana na rundo la wakimbizi wanaovuka Mediterranean sea kukimbia vita alivyovianzisha marekani bila sababu za msingi zaidi ya ulafi wa maliasili za nchi hizo na bado hana aibu anajifanya kutusema Tanzania, lakini kisa ni udhibiti wa maliasili zetu (makinikia na Tanzanite).
Wahispania wana hasira nasi shauri ya deep sea ya Tanzania.
Haya yote ukitaka kuyajua rejea ile team makinikia waliokuja hapa nchini na uangalie cv zao hapo utaelewa ninachokimaanisha.

Kuna mambo makubwa yanatokea huko marekani na yasiyo ya kidemokeasia kabisa, lakini hayaonwi kama tatizo ila tanzania ndio yanaonekana?!
Ushahidi ni jinsi maafisa waandamizi wa marekani wakiendelea kujiuzuru kwa kutofautiana na Rais wao Trump.
Wa hivi karibuni kabisa ni waziri wa ulinzi wa marekani Bw mattis.

Kuna nchi nyingi za kiafrika na ulaya zina matukio makubwa sana yanayopaswa kutolewa matamko ya kulaaniwa lakini hatuwasikii wakitoa tamko lolote.je kuna nini hapo?

Wazungu hawajawahi kumpenda muafrika kamwe bali huwa wanatuchanganya na kututumia kisha kututupa kama ganda la ndizi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni muendelezo wa kujikomba
Sasa hapa jf ndo EU na US au ili nawe uonekane umejitutumua kuwajibu wakuu wa dunia?Jiwe amewajengea vijana wa Lumumba tabia ya ajabu sana wakidhan wanamsaidia kumbe wanaharibu ustawi wa taifa!!!!Hii hoja yako ni irrelevant hapa na haina mantiki
 
Saa nyingine akili zenu muwe mnazitumia kufikiri na msitumie vichwa vyenu kubebea nywele tu.
Hivi ukipewa msaada ndio ukubali lolote utakaloamriwa na mtoa msaada bila kuhoji?
Kwani hujui pia hii misaada mara nyingi huwa sio ya bure maana huwa inapanua ajira na pia kuzifanya nchi donors kuuza material za viwanda vyao kulingana na project lengwa!
Ebo!!
Bakuli litawachachia mwaka huu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom