EU hangaikeni na Uingereza inayojitoa

EU hangaikeni na Uingereza inayojitoa

Well said
Ki ukweli hawana mpango na sisi kabisa maana matatizo yao ni makubwa sana
Hizo barua huwa zinatolewa tu kufurahisha wapumbavu flani hivi walahi
NATO yenyewe ni vurugu tupu linalo endelea
Hizo barua ni copy and paste tu ili waonekane wamefanya kazi
Sasa subiri mziki wa mazuzu ya chadrama mcharuko, haki ya Mola wangu mwaka kesho watakosa pesa kabisa walahi
Maana akili zao ni za kushikiwa na wadhungu!
tapatalk_1544935577623.jpeg
tapatalk_1544534775735.jpeg
tapatalk_1541354818920.jpeg
tapatalk_1544465464976.jpeg
CCM ndo hawa wenye akili chadema wote hawana akili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umoja wao ni uchwara lakini Wana uwezo wa kiuchumi.
Wewe je?
Acheni jeuri za kishamba
 
Upo sahihi. Ukiangalia andiko lao linatutaka tuhalalishe ushoga.

Sijaona pahala wameongelea biashara au ajira.
Wewe mavi ya punda kweli yake 14 yote yanaongelea ushoga tatizo wametumia kiingereza
 
Kwaiyo maazimio 15 yoooote ya EU yanazungumzia ushoga tu[emoji23]Lumumba mmeshikwa pabaya mwaka huu mkuu
Tumsamehe bure hana ajira rasmi na pia hana akili ya kujiajiri wamemwajiri ccm kwa malipo ya 70000 per day
 
EU wangehangaika na Uingereza inayojitoa kwenye ka umoja kao uchwara.

Tanzania ya sasa siyo ya kupangia namna ya kuishi na wala haihitaji huruma ya EU.

Tumewakumbatia kwa muda mrefu lakini nchi yetu haibadiriki ,iko vilevile tu ,sasa tumeamua kuwaacha mnalialia tuacheni twende zetu.

Ulaya ndiyo haiwezi kuendelea bila Afrika ,lakini siyo Afrika eti ishindwe kuendelea bila ulaya .!

Kuamini hivyo ni utumwa mtupu raw material zote wanatoa Afrika


Na inasikitisha sana kuona Chadema ndiyo watetezi watetezi wa EU na makoloni mengine ya nchi yetu.
Mjanja ni yule anayeficha ujinga wake sio anayeuanika. Nani sasa kawazuia msiendelee, kila siku mnaambiwa muachane na viroba hamtaki kusikia.
 
EU wangehangaika na Uingereza inayojitoa kwenye ka umoja kao uchwara.

Tanzania ya sasa siyo ya kupangia namna ya kuishi na wala haihitaji huruma ya EU.

Tumewakumbatia kwa muda mrefu lakini nchi yetu haibadiriki ,iko vilevile tu ,sasa tumeamua kuwaacha mnalialia tuacheni twende zetu.

Ulaya ndiyo haiwezi kuendelea bila Afrika ,lakini siyo Afrika eti ishindwe kuendelea bila ulaya .!

Kuamini hivyo ni utumwa mtupu raw material zote wanatoa Afrika


Na inasikitisha sana kuona Chadema ndiyo watetezi watetezi wa EU na makoloni mengine ya nchi yetu.
Kuhusu ushoga siungi mkono lkn Kusema ka umoja uchwara hiyo ni chuki binafsi Hakuna umoja uchwara mkuu km umoja uchwara basi upo Africa mashariki ambapo kagame anazituhumu nchi, za umoja wake Kuwa wanaua Watu wake na raisi wa Burundi akimtuhumu kagame Kuwa anaunga mkono mapinduzi haitosh mzee wetu mpatanishi tunayemtegemea museveni juzi amesema aondoki madarakani
 
Back
Top Bottom